Jide: Sijampiga kijembe Gadner

Zote ni nyimbo tu tofauti ni miondoko, kwani wimbo wa Linex -Aifola ukimsikilizisha manzi wako mliyegombana anaweza kukupa jibu gani?
Taabu ni fasiri ya 'ndi ndi ndi' hapo ndio kwenye shida
 
Ni muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?



wewe hujui kama jamaa aliomba ndogo akapewa but alivyoombwa naniliiuu akagoma kutoa
 
Mtafutieni Jide tiba. Acheni tabia za kike wanaume wa Dar ninyi.
 
wewe hujui kama jamaa aliomba ndogo akapewa but alivyoombwa naniliiuu akagoma kutoa
Sawa mkuu. Huu wimbo kila mtu atakuja na tasfida yake, una maneno yenye utata meeengi
 
 
Jamen wale wakujiongezaa, angalieni msije mkajioverdozeeyi.. Hii yenu na inawahusu
 
hekima, ni Njema sana ikiwa kila mtu Atamwomba Mungu, Amruzukie, ni vizuri kama wa2 mmeachana basi kukaa kimya ni hekima nzuri sana, maana kila mtu Ana ubaya na uzuri wake. Lindianeni heshima wandugu.
 
Mwanamke Sura, Tako na Kiuno ukikosa hivyo hata umiliki Dunia nzima Kidume chako lazima kika Pump hata kitaa kwa housegirl wa jirani!


Sasa Jide akose tako amekuwa nyoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…