Jide: Sijampiga kijembe Gadner

Jide: Sijampiga kijembe Gadner

Ndi ndi ndi ni kitu kilicho jaa kwelikweli na hata baadhi ya jamii hukuta watu wanasema amejazwa kitumbo ndi!yaani kapewa mimba.
 
Omben sefue alimpatia magufuli taarifa zote, alimwandali kila alichohitaji Rais kuetekeleza wajibu lakini mwisho wa siku Sefue nae kawekwa benchi kama si lolote ...ndi ndi ndi
 
MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani.

[http://www]

Jide na aliyekuwa mumewe, Gardner

Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide alisema wimbo huo ulitungwa na watu wake tofauti na yeye kuukamilisha hivyo kwa kuwa umebeba ujumbe mzito ni rahisi mtu kuhisi amemuimba mtu fulani kumbe yeye aliimba kwa ajili ya mashabiki wake wote.

“Sijampiga kijembe huyo wanayemsema (Gardner). Mimi nimetumia utunzi wangu kuwakilisha yale yanayotokea katika jamii mbalimbali sasa kama mtu anaona umemgusa fulani atakuwa amejiongeza tu lakini mimi sikumaanisha mtu mmoja bali ujumbe kwa mashabiki wangu wote,” alisema Jide.

Kwenye wimbo huo kuna sehemu Jide kaimba; a “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” ambapo iliaminikamemzungumzia Gardner.
Ina maana alitoa vyote hata visivyoliwa!! (Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote”) ambapo iliaminikamemzungumzia Gardner.[/QUOTE]
 
Ni muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?
Tupa jiwe gizani ukisikia kelele jua ndio limempata.
 
Back
Top Bottom