Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ndi ndi ndi ni kitu kilicho jaa kwelikweli na hata baadhi ya jamii hukuta watu wanasema amejazwa kitumbo ndi!yaani kapewa mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni kitu gani huyo bibie alijazwa ndi?Ndi ndi ndi ni kitu kilicho jaa kwelikweli na hata baadhi ya jamii hukuta watu wanasema amejazwa kitumbo ndi!yaani kapewa mimba.
Nadhani anamaanisha bado kajaa ndi ndi ndi hajapungukiwa kitu.Sasa ni kitu gani huyo bibie alijazwa ndi?
Ina maana alitoa vyote hata visivyoliwa!! (Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote”) ambapo iliaminikamemzungumzia Gardner.[/QUOTE]MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani.
[http://www]
Jide na aliyekuwa mumewe, Gardner
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide alisema wimbo huo ulitungwa na watu wake tofauti na yeye kuukamilisha hivyo kwa kuwa umebeba ujumbe mzito ni rahisi mtu kuhisi amemuimba mtu fulani kumbe yeye aliimba kwa ajili ya mashabiki wake wote.
“Sijampiga kijembe huyo wanayemsema (Gardner). Mimi nimetumia utunzi wangu kuwakilisha yale yanayotokea katika jamii mbalimbali sasa kama mtu anaona umemgusa fulani atakuwa amejiongeza tu lakini mimi sikumaanisha mtu mmoja bali ujumbe kwa mashabiki wangu wote,” alisema Jide.
Kwenye wimbo huo kuna sehemu Jide kaimba; a “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” ambapo iliaminikamemzungumzia Gardner.
Tupa jiwe gizani ukisikia kelele jua ndio limempata.Ni muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?
Asee we ulikuwa wapi muda wote kutoa hii kitu?Tupa jiwe gizani ukisikia kelele jua ndio limempata.