Nimecheka adi wapangaji wezangu wamekuja kunigongea
Mimi mwenyewe iyo ndo time yangu nashindwa kabisa kuitoa moyoni na hii yanga zinanitesa sana
Acha tu maisha yananichanganya, mpira ndo usiseme afu kibaya zaidi sina ata wa kunifariji usingekua mziki sijui ningeishijeHahahaha wewe kweli uko pabaya
Manchester united+Yanga=Kifo cha kujinyonga ππ
Hizo mbili nasikiliza sasa hivi nishazidownload,siku ukipata muda naomba unitajie nyingi nyingiNast c inaitwa everything
Jason derulo if am lucky
Na nyingine nyomi
Mie pia bila mziki ningekuwa vibaya zaidi na simba sio mbaya sana inatia moyoAcha tu maisha yananichanganya, mpira ndo usiseme afu kibaya zaidi sina ata wa kunifariji usingekua mziki sijui ningeishije
Sawa japo mi mdau sana wa hip hopHizo mbili nasikiliza sasa hivi nishazidownload,siku ukipata muda naomba unitajie nyingi nyingi
Mziki na mpira ndio starehe zangu kubwa
Simba mnajitahidi kiasi chake sema mna mangendembwe bila kikomoMie pia bila mziki ningekuwa vibaya zaidi na simba sio mbaya sana inatia moyo
Mie napenda nyimbo yoyote nzuri,utanitajia tu hata hizo hip hop kama ni mbaya nitafutaSawa japo mi mdau sana wa hip hop
Simba mnajitahidi kiasi chake sema mna mangendembwe bila kikomo
Sawa japo nyimbo inaweza ikawa nzuri kwangu afu we usiipende ila ntajitahidi kushareMie napenda nyimbo yoyote nzuri,utanitajia tu hata hizo hip hop kama ni mbaya nitafuta
Sawa japo nyimbo inaweza ikawa nzuri kwangu afu we usiipende ila ntajitahidi kushareMie napenda nyimbo yoyote nzuri,utanitajia tu hata hizo hip hop kama ni mbaya nitafuta
Kusumbuliwa na nani?unae moyo wachuma mama,,utakavyo sumbuliwa sasa
Nimeitumia muamala hii namba jina likatokea Jokate Mwegelo. Hivi unataka niunganishwe kwenye kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha papuchi za chama na serikali...???0677 062 998
Namba ya joanah hiyo hapo...sasa ndugu mganga naomba unisaidie niitoe moyoni man chester united,inanipa stress nataka niachane nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leta ushuzi wa bata nusu chupa na sisimizi mweyw mimba...mambo yako yatanyooka saaana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leta kivuli cha mwendawazimu(shadow)
[emoji44][emoji44][emoji43]Leta kuku wa kijani na yai viza la mapacha