Jifanye wewe ndio mgaga wa kienyeji unipe masharti

Embu tufanye wewe ndio mganga wakienyeji nimekuja kwako ili nipate utajiri utanipa masharti gani [emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Naonaaaaa.......naona line ya ttcl,na pia sioni kabisa kama imesajiliwa kama inavyotakiwa.
Naona kwenye kioo ukiwaalaumu NIDA.

Fanikisha hilo kwanza.

Kuna mtu atakupigia J3 ,ukishapokea kabla ya kuongea kitu chochote mwambie niko "JAMIIFORUMS ",atachekasana alafu atakutumia million 1 kwa namba ya TTCL.

Ukishapata hiyo hela utaitumia kwenye kubeti—lakini Man U na Real Madrid usiwahusishe kwenye mkeka.

Na sharti la msingi ukishashinda hela(naiona million 400) usikubali kuuzishwa sura kwenye Tv mtafute hata mdogo wako akae pale.
UMENIELEWA KIJANA!!
 
Niletee mke wa mtu ambaye hajaolewa alafu ni bikra.

Baada ya hapo niletee kuku mweusi mwenyewe mayai matatu ambaye ni tasa.

Niletee begi lenye viatu ambalo halina kitu ndani yake.

Baada ya miaka 50 mambo yako yatanyooka

Sema tawileeeeeh.
 
0677 062 998

Namba ya joanah hiyo hapo...sasa ndugu mganga naomba unisaidie niitoe moyoni man chester united,inanipa stress nataka niachane nayo
Acha maombi ya hovyo mama.Ukiweza vumilia hii Man U saivi ndoa na maisha hayatakuja kukushinda.
Binti “mwekundu” tulia hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…