miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
Naonaaaaa.......naona line ya ttcl,na pia sioni kabisa kama imesajiliwa kama inavyotakiwa.Embu tufanye wewe ndio mganga wakienyeji nimekuja kwako ili nipate utajiri utanipa masharti gani [emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Naona kwenye kioo ukiwaalaumu NIDA.
Fanikisha hilo kwanza.
Kuna mtu atakupigia J3 ,ukishapokea kabla ya kuongea kitu chochote mwambie niko "JAMIIFORUMS ",atachekasana alafu atakutumia million 1 kwa namba ya TTCL.
Ukishapata hiyo hela utaitumia kwenye kubeti—lakini Man U na Real Madrid usiwahusishe kwenye mkeka.
Na sharti la msingi ukishashinda hela(naiona million 400) usikubali kuuzishwa sura kwenye Tv mtafute hata mdogo wako akae pale.
UMENIELEWA KIJANA!!