Jifungie zako ndani, tazama filamu hizi

Bro, nakukubali sana. Naomba link ya channel ya telegram. Kwenye vile uzi zingine link ipo ila naona hazifanyi kazi.
Ahsante, Eze.

Kwa sasa sina channel yoyote ya Telegram, nilipoteza namba niliyofungulia nayo channel. Natazamia kufanya jambo karibuni.
 
Ulititenga sana mkuu hata kule telegram.

naweka kambi nitarudi.
 
Huna baya mkuu maelezo yame nyooka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SteveMollel Asante mkuu kea kunitag ngoja niburudike maana ulikaa muda mrefu mpaka wadau tukakusahau shukrani kwa kurudi kwa kishindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…