Share nami,naweza ni ka share na wewe ninachokitafuta pengine unaweza kunisaidia kukiagiza?
Vp unaeza niagizia bidhaa Kenya mkuuShare nami,
Karibu
- PM
- Whatsapp 0788 203 160
Ndio ndugu, inawezekana:Vp unaeza niagizia bidhaa Kenya mkuu
Rejea:
Kama kuna mtu ameshafanya manunuzi kutoka AliExpress amnisaidie kunijuza hali ya uaminifu na usalama wa fedha. Maana naona bidhaa zao bei zipo chini.ukiwa unanunua watakuuliza shipping adress iwe sawa na paypal au utabadili, ila details za paypl lazima ziwe sawa na card
- Ili kujua bei halisi hakikisha umechagua shipping option. Unaweza kuta item inauzwa dola 2, ila shipping ni dola 13 (Muuzaji A), muuzaji B yeye atasem,a item ni USD 15 but ni FREE shipping. Ni janja janja ya kibiashara.Maana naona bidhaa zao bei zipo chini.
Ni salama na bidhaa uliyochagua itakufikia kulingana na anwani yako.AliExpress amnisaidie kunijuza hali ya uaminifu na usalama
Nina uzoefu wa Kutosha na Aliexpress! Sijawahi kupata nao changamoto!Kama kuna mtu ameshafanya manunuzi kutoka AliExpress amnisaidie kunijuza hali ya uaminifu na usalama wa fedha. Maana naona bidhaa zao bei zipo chini.
Mwl.RCT hii code inayoanzia hivi na mwisho huko BR002508MG ya percel mzigo unakuja posta au wale agent waoShare nami,
Karibu
- PM
- Whatsapp 0788 203 160