unaweza kunipa utaratibu kidogo wa kununua kitu kwa Ebay , coz kuna vingine nimevikuta vimeandikwa "Bid" sasa mimi sitaki bid , sijui ndio mnada nataka kama ni kununua ninunue kweli.
kama umepokea mzigo na ukawaambia hujapokea watahakikishaje kama umepata mzigo?
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
thanx wakuu wote jamiiforums we were blindfolded i once dared to buy my camera in a shop smewhere in posta kama 400000 juzi nimeitype ebay daaaaah its almost lyk 60000tshs nimehuzunika kutokujua earlier sifanyi mistake kama hiyo anymore
Nimeona apple desktop pale ebay ni usd 200 .nikileta bongo nakatwa kodi bei gani na hadi kuimiliki itancost ngapi?
kuna laptop apple(used but working usd 175) shipping ni 93usd.nikitumia dhl au fdex natozwa tena kodi na shiping fees or?kumbuka pia kifaa cha ebay iwapo kitakuwa fault baada ya kutumiwa utajuta
kuna laptop apple(used but working usd 175) shipping ni 93usd.nikitumia dhl au fdex natozwa tena kodi na shiping fees or?
hv ikiwa used sio parts or not working maana yake si inafanya kazi?na kama ukiagiza vifaa vya afya kama microscope vinaitaji ukaguliwe? njunwa wamavoko
Naweza kufanya shopping na ebay?
duuh pitia thread usome usisubiri kusimuliwa
Kaka na kukaguliwa kunamashart gan?labda lazma uwe na vyeti flan au documents flan may be kutoka kwa tbs au tfda?