Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

unaweza kunipa utaratibu kidogo wa kununua kitu kwa Ebay , coz kuna vingine nimevikuta vimeandikwa "Bid" sasa mimi sitaki bid , sijui ndio mnada nataka kama ni kununua ninunue kweli.

ukiangalia kwa makini utaona maandishi 'BUY IT NOW' kuna price ya kununua bila bidding.
 
kama umepokea mzigo na ukawaambia hujapokea watahakikishaje kama umepata mzigo?

Kama kuna tracking number ulipewa basi watafatilia mzigo ulipopotelea. Na kwa sababu ya kutokuwa waaminifu sellers wengi hawaship nchi za afrika maana mizigo hupotelea posta au muhusika atapokea kisha aseme hajapata mzigo. Au wanatumia njia ambazo ni safe kama dhl ups na kadhalika. Ukitumia njia hizo kama mzigo hujaupata lazima utabaki ofisini kwao. Na uwa wanatrack kila kituo mzigo unapopita. Posta ndio njia pekee ambayi haina uhakika saaana wa vitu kufika
 
bwana shipping adress ya ku post inaweza kuwa na adress uliyoregoister paypal, lkn wabongo wezi nikiwaelekeza msije kuwaliza bure ebay akuuu bye
 
kama ni kweli itabidi tufanye hivyo kwani twaogopa matapel wa mtandaoni ndugu ila tudhibitishie basi
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
 
thanx wakuu wote jamiiforums we were blindfolded i once dared to buy my camera in a shop smewhere in posta kama 400000 juzi nimeitype ebay daaaaah its almost lyk 60000tshs nimehuzunika kutokujua earlier sifanyi mistake kama hiyo anymore
 
Nimeona apple desktop pale ebay ni usd 200 .nikileta bongo nakatwa kodi bei gani na hadi kuimiliki itancost ngapi?
 
thanx wakuu wote jamiiforums we were blindfolded i once dared to buy my camera in a shop smewhere in posta kama 400000 juzi nimeitype ebay daaaaah its almost lyk 60000tshs nimehuzunika kutokujua earlier sifanyi mistake kama hiyo anymore

Kumbuka pia kifaa cha eBay iwapo kitakuwa fault baada ya kutumiwa utajuta pia maana itabidi ukisafirishe ukirudishe huko ili upewe kingine afu tena ulupie cost ya kutumiwa tena upya...mwisho wa siku mle mle
 
Nimeona apple desktop pale ebay ni usd 200 .nikileta bongo nakatwa kodi bei gani na hadi kuimiliki itancost ngapi?

Used for spare parts au not working?
Soma descrption vizuri utanunua makasha afu sijui huku bongo utamuuzia nani?
Education material kama laptop..desktop haupaswi kulipia ushuru...angalia shipping cost yake ni bei gani?
Au kama unataka secure way mwambie aship by fedex au Dhl japo bei ni kubwa
 
hv ikiwa used sio parts or not working maana yake si inafanya kazi?na kama ukiagiza vifaa vya afya kama microscope vinaitaji ukaguliwe? njunwa wamavoko
 
kuna laptop apple(used but working usd 175) shipping ni 93usd.nikitumia dhl au fdex natozwa tena kodi na shiping fees or?

Kaka narudia tena fanya mambo haya kwanza muombe ukinunua akuwekea umeinunia 50$ ktk invoice pili ikifika Bongo komaa na watu dhl au fedex uwambie hiyo kitu ni kwa ajili ya kusoma na education material hazilipiwi ushuru hii n iwapo watadai ushuru maana wale maofficer wa tra kwenye godown za dhl wana njaa kinyama
 
hv ikiwa used sio parts or not working maana yake si inafanya kazi?na kama ukiagiza vifaa vya afya kama microscope vinaitaji ukaguliwe? njunwa wamavoko

Vifaa vya afya vitakaguliwa kawaida lkn hamna kulipia ushuru
Kifaa ambacho ni used kinafanya kazi kawaida lkn kama ameweka for parts,not working au Sth broken basi nunua at your own decision
 
Kaka na kukaguliwa kunamashart gan?labda lazma uwe na vyeti flan au documents flan may be kutoka kwa tbs au tfda?
 
Ngoja nijilipue huko ebay vitu cheap sana. Nimeona printer ni 4usd ila shiping to tz ni 93usd!
 
Kaka na kukaguliwa kunamashart gan?labda lazma uwe na vyeti flan au documents flan may be kutoka kwa tbs au tfda?

Unataka kuingiza Mzigo wa biashara wa Dawa za binadamu?
Au unaingiza dawa for personal use lazima uwe specific
Wanachokifanya ma-afisa wa TRA pale dhl ni kwamba hawana X-Ray ya kukagua mizigo contents ya packages kuna nn...hivo wanafanya physical examination....Lkn kama ni package ndogo wataipotezea lkn kama imetuna kibishi lazima ifanyiwe examination na Lengo kuu nikuangalia vitu visivyruhusiwa kuwa imported kuja Tanzania pia lengo la pili ni kukagua kama invoice imeandika piece tano je ni kweli ni PC tano?
Hii itasaidia kufanya summation ya custom values....Lkn kusemaa sijui vyeti hivo haviitaji wala nn wanakagua wao wakimaliza wanakupigia kuwa ushuru utalipa kiasi fulani e.g 40,000/= lkn labda baada ya kukagua wakagundua kuna mambo yamefichwa kwenye invoice basi utasikia wanakwambia "Customs status updated" bi mpya 150,000/-
 
Back
Top Bottom