wenye ujuzi kuhusu usps na ups naomba mtupe mwanga zaidi....
Mimi leo nimetoka Posta kuchukua mzigo wangu nilionunua on ebay. Umetumwa kwa USPS. Ni kutoka Brooklyn NY
Ebay siyo matapeli. Ipo organized sana. Yaani kila utakacho utakipata.
Ila wengi wa wauzaji wanataka uwe na paypal ambayo wengi wa wabongo hatuna au hatujajisaijili na mtandao huo.
ooooowkey ulinunua nini kaka
watakutumia wapi?online au kwenye bank yako?kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) ...very easy
watakutumia wapi?online au kwenye bank yako?
Watanzania haturuhusiwi au niseme hatuwezi Kupokea malipo kwa paypal bali ni kununua tu
Tushukuru Mungu kwa hilo maana kuna nchi haziruhusiwi hata kununua kama Nigeria nahisi hapa PayPal wanakwepa CASE za mara kwa mara sababu Afrika uaminifu ni zero
Sidhani kama tatizo ni uaminifu, Tanzania sidhani kama kuna watu wanaweza kuiibia paypal, wako tight sana security zao, wanawezwa na walioendelea wenzao.
Hivi kwenye situation ambayo unatakiwa kurudishiwa pesa yako (refund) inakuwaje kama ac haiwezi kupokea malipo?
Mm naweza kutengeneza paypal ya mda afu nikakwambia nitumie 150$ ili nikuuzie let say RADIO fulani wewe ukinitumia basi mm nakutepeli ...we ukifungia case na acc yangu iko 0 balance hawataweza kufanya kitu zaidi wao itabidi waingie cost kukurudishia wewe... hii ndo uaminifu na effect yake niliongelea hapa ..
Kuhusu Refund hizo zinakuja tu bila shida ila nyingi sio automatic...paypal wanaziweka kwenye acc yako ya visa au mastercard....afu department husika wanaziamisha kuziingiza acc yako ya Bank iwapo haikufanyika automatic na wewe unazo evidence

Hapo wanatunyima fursa kabisaa, dah! bora kuhama bongo. Hivi nikifungua akaunti ya kcb naweza nikalink na akaunti ya paypal iliyofunguliwa kenya?
Hapo wanatunyima fursa kabisaa, dah! bora kuhama bongo. Hivi nikifungua akaunti ya kcb naweza nikalink na akaunti ya paypal iliyofunguliwa kenya?