Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Basi Card haina hela ndo maana hawajaweza kata hela lkn ile point wanaship wanakata hela yao kwenye card iwapo haina hela watakutumia email kwamaba either ukikishe card iko sahihi au uhakikishe kuna credit

Screenshot hiyo
 

Attachments

  • 1395763430536.jpg
    32.3 KB · Views: 279
Wadau naomba mnieleweshe. Je ni sahihi na salama kumtumia seller paypal adress yangu? Manake kanambie nimtumie my paypal adress anitumie invoice
 
Wadau naomba mnieleweshe. Je ni sahihi na salama kumtumia seller paypal adress yangu? Manake kanambie nimtumie my paypal adress anitumie invoice

Paypal adress au paypal email.
Niliwai sikia zile adress haziko secure lkn kama ni seller mwenye positive feedback wala usitie shaka
 
Sawa lakin mbona wameship mzigo alaf bdo cjawalipa na nna utrack nauona unazidi sogea EMB Chek hzo screenshot

Hiyo so issue hata mm walifanya hivo hivo na hela niliweka baada ya mzigo kufika ndo wakakata hela
 
Mkuu una bahati wewe hajakuibia huyo mchina bdala ya kutafuta watu kam sisi tupo nje nyinyi mnatafuta Ebay au amzon ngojeeni muibiwe pesa zenu . Ukinataka ninaweza kukusaidia nitumie email baruwa ya pep Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Aione: JZHOELO

 
Last edited by a moderator:
Posta wana tabia mbaya mzgo kama hauna track wanaficha nilinununa iphone ebay nilikanyaga posta ka mwezi hivi kule aliyeniuzua ananiambia nilshatuma na imefka kuja posta holaa ahaa siku nikakomaa posta nikasema sitok hapa mpka mzgo na kweli ulikuwa umefika ka wiki!!


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Naomba nikutafute pia mkuu
Nitafute kwa njia Email Addreess yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Watu wengi wana danganyika Eti kununuwa vitu kwa njia Ebay au Amazon vingi hivyo vitu vinakuwa vimeshatumika used na havina Garantii kwa mfano umenunuwa Simu ya Mkono Samsung Galax umetumia kwa mwezi mmoja imeharibika

na pesa yako imekwenda na maji hutoweza kuwarudishia hao AEbay wala amazon. Lakini ukinunuwa kwa mtu aliye nje na atakupa risiti ya garantii ya miaka 2 ikiharibika unatengenezewa bure bila ya malipo au wanakupa simu nyingine mimi siwashauri watu wanunuwe vitu

kwa njia ya Online Ebay wala amazon bora tafuta watu wa njeya nchi kama sisi ununuwe Simu au Laptop kwa gharama lakini una uhakika hiyo Laptop au Simu ni Mpya na Origanall na inayo Garantii ikiharibika unatengenezewa bure au unalipwa simu nyingine mpya kabisa.
 
Sas ndugu,kuna vitu nyinyi mkiagizwa mnapata tabu sana,maana sisi wengine tunanunua vitu ambavyo hamvijui,msifikiri kila mtu anaagiza laptop na cmu,wengine cc tuna nunua tools,spear parts,na vitaka taka vingine,so hamchelewi kusema hicho ki2 cjakipata,sasa tunaona bora tukimbilie huko ebay.that is it
 

mwamba ngoma uvutia kwake
 

mwamba ngoma uvutia kwake


ni kweli kabisa, nyie watu mlio nje ni kweli mtanunua na viwe na garantee lakini shida ni bei mkubwa, licha ya hivyo hata sisi tunaweza kununua vipya vyenye guarantee kwenye official websites na tukavipata within a week mkuu MziziMkavu , ni rahisi via myus.com, ebay watu tunakwenda kwa unafuu wa bei, ila amazon iko tofauti na ebay, amazon kuna baadhi ya bidhaa wanafunga na kuship wao kama amazon ana haijalishi uko wapi guarantee yako iko palepale kwahiyo bwana MziziMkavu usipotoshe wanaforum na nakubaliana na njunwa wamavoko kuwa unavutia kwako, watu mlioko nje ni hanging option ya mwisho tunapofeli kudeliver kwa aothorised companies kama myus, na online marketing sio simu na pc, watu wananunua hadi mashuka,viatu hata ukitaka mswaki.samahani kama nimeongea out of line ila thats the truth mkuu.
 
wewe Tetea Ubovu wa Ununuzi wa online wa Ebay na Amazon shauri yako utanunuwa vitu vilivyokwisha tumika na utatumia muda mchache mchezo kwisha shauri yako.
 
wewe Tetea Ubovu wa Ununuzi wa online wa Ebay na Amazon shauri yako utanunuwa vitu vilivyokwisha tumika na utatumia muda mchache mchezo kwisha shauri yako.

Inavyoonesha haujawai kununua vitu eBay wala Amazon...
Katika hizo platiform zote mbili kama kifaa ni "USED" au "NEW" au SELLER REFURBISHED...unaambiwa...

Mfano kama Simu haiingizi charge unaambiwa kua hii simu inafanya kazi ila tu ina tatizo fulani na fulani...hivo unanunua at your risk...

Au wanakwambia USED but in good condition...no cosmetic wear...na vitu kama hivo

Ila kitu kikiwa new ni new hamna habari za kuuziwa used tena hapo...

Mwisho,eBay kuna kitu inaitwa "Item not as described" unafungua case unarudishiwa hela yako...hivo risk zipo lkn hela yako haipotei hivi hivi....

Labda utwambie wazi hapa unataka comission kiasi gani kwa hiyo kazi?.
Maana hapa Tanzania kuna watu wanafanya hiyo kazi...lkn ukishuhusisha mtu kukufanyia hii kazi basi ujue hata ile price difference ya eBay na hapa Bongo utakuta imepotea na ni sawa na kununua mzigo hapa Bongo land
 


Nimekupata sana mkuu dah asantee umenionesha njia let me try then I wl come wth feedback


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi kitu kikiwa shipped kwa USPS First Class Mail Intl toka USA inachukua muda gani kufika Tanzania?
 
Jamani mie nikitaka kununua ebay mzigo nakuta gharama ya kusafirisha ni kubwa kuliko gharama ya mzigo,nifanyeje?
 
Jamani mie nikitaka kununua ebay mzigo nakuta gharama ya kusafirisha ni kubwa kuliko gharama ya mzigo,nifanyeje?

Ukiingia ebay search hiko kitu, kwa juu kuna sehemu ya kurefine results, itakuja bar kubwa pembeni utakuta jinsi ya kuchagua unataka kitu cha aina gani, kwa chini kuna sehemu utakuta free shipping, ukiclick zitakuja bidhaa zote zinazoweza kuwa shipped freely.
 
Hivi kitu kikiwa shipped kwa USPS First Class Mail Intl toka USA inachukua muda gani kufika Tanzania?

depends na location alipo seller na ulipo wewe, ila usps uwa ni less than a week uwa wanaandika 3 to 5 working days, kukiwa hakuna maelezo unaweza m pm seller. Mimi nilinunua kitu uingereza seller ikatumwa kwa royal mail na akasema itafika in 3 to 5 days, kweli kifaa kikafika ila ishu ikawa posta. Jamaa wazushi sana mpaka napata mzigo nshampm sana seller na akaconfirm mzigo ushatumwa, kumbe ulikuwa tu post mie kila kukicha naenda hamna kitu
 

Posta walikua wanakupa jibu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…