Njunwa,
Kwa upande wangu huwa naweza peleka TZS ama USD, na kama nikipeleka madafu huwa wanatumia rate ya siku hiyo like wiki jana nilifanya deposit rate ilikuwa 1687.
Na katika uchunguzi wangu mdogo ni kuwa ukiweka USD huwa inachukua muda mfupi sana kwa iyo deposit to reflect into your card, wakati ukiweka madafu huwa kuna delaying fulani hivi.
Kwa kuwa kadi yangu ni ya dola, malipo yangu yote huwa yanakuja kwa dola tu hivyo ndivyo nilivyowaambia jamaa wa paypal, kwa kuhofia conversion differences ambazo huwa zinajitokeza kama unafanya manunuzi katika sarafu nyingine zaidi ya dola.
Nawakilisha.