Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
wakuu mimi nilijaribu kuunga master card yangu ya nbc na paypal ikakubali bila hata kujaza hizo form za benki na wala sikwenda benki kuverify master card yangu.ila nimeshanunua item toka ebay kwa hii hii master card yangu sasa ipo njiani kuja nchini. sa naomba mnijuze je nbc hawataifunga card yangu kweli pili imewezekanaje kununua item wakati siku verify card yangu kwny paypal akaunti
Huna haja ya kuverify Mastercard enjoy your shopping mkuu. unaweza kununua bila ku verify especially kwenye mastercard na hawawezi kuifunga hiyo card