Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
Yeah, hili lawezekana, mm siku zote natumia posta, sijakutana na tatizo loloteKwa kweli kwa ufahamu wangu DHL ukipitisha mzigo huko lazima upitie Custom waukague kisha wanakulima kodi. Kama nataka kununua kitu sasa hivi nakuwa mpole kusubiri kwa wiki kadhaa ila napata mzigo wangu kupitia posta, no makato no nini.
Ndio inabidi aidha ufungue sanduku la posta au utumie la ofisi kama lipo.Hapo nimekupata mkuu. Lakini ibabidi niwe na sanduku la barua au sio?
Mkuu mimi nilinunua mwaka jana. Ila mwaka huu nilijaribu kununua kifaa flani cha kielectronic wakaniambia hivo hivo kwamba bidhaa hiyo haitumwi Tanzania. Mkuu jaribu bidhaa tofauti kwa seller tofauti uone. Labda ni seller huyo ndo hauzi bidhaa tz. Pia ukumbuke kuna baadhi ya bidhaa ni strictly kwa ajili ya matifa flani tu hivo tanzania haziwezi kutumwa. Jaribu kuchunguza mkuuMkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?[emoji124]
Ndio inabidi aidha ufungue sanduku la posta au utumie la ofisi kama lipo.
Mkuu mimi nilinunua mwaka jana. Ila mwaka huu nilijaribu kununua kifaa flani cha kielectronic wakaniambia hivo hivo kwamba bidhaa hiyo haitumwi Tanzania. Mkuu jaribu bidhaa tofauti kwa seller tofauti uone. Labda ni seller huyo ndo hauzi bidhaa tz. Pia ukumbuke kuna baadhi ya bidhaa ni strictly kwa ajili ya matifa flani tu hivo tanzania haziwezi kutumwa. Jaribu kuchunguza mkuu
Asante mkuu, ila kwa sasa nimejikita zaidi ebay na aliexpress.Mkuu mimi nilinunua mwaka jana. Ila mwaka huu nilijaribu kununua kifaa flani cha kielectronic wakaniambia hivo hivo kwamba bidhaa hiyo haitumwi Tanzania. Mkuu jaribu bidhaa tofauti kwa seller tofauti uone. Labda ni seller huyo ndo hauzi bidhaa tz. Pia ukumbuke kuna baadhi ya bidhaa ni strictly kwa ajili ya matifa flani tu hivo tanzania haziwezi kutumwa. Jaribu kuchunguza mkuu
Sijawahi hata kuwatumia hao jamaa, huwa naona matangazo yao fb,nikifuatilia zaidi nilichokiona sikipati, niliamua kuachana nao.Asante mkuu, hivi hawa jumia umeshawahi kusikia? Wapo vipi?
Aliexpress sijawahi nitajaribu kupita huko siku moja nione. Wao wabapokea/wanatumia paypal?Asante mkuu, ila kwa sasa nimejikita zaidi ebay na aliexpress.
Hapana wao hawana paypal ila wanamfumo wao unaitwa alipay upo kama paypal ndio wanatumia kulipia.Aliexpress sijawahi nitajaribu kupita huko siku moja nione. Wao wabapokea/wanatumia paypal?
Ushanunua bidhaa na kupokea kupitia wao mkuu?Hapana wao hawana paypal ila wanamfumo wao unaitwa alipay upo kama paypal ndio wanatumia kulipia.
Yap nilishanunua vitu na nilipokea bila shida tena kwa wakati kama alivyosema seller within 3 weeks.Ushanunua bidhaa na kupokea kupitia wao mkuu?
Shukrani mkuu. Nitawapitia nione bidhaa zaoYap nilishanunua vitu na nilipokea bila shida tena kwa wakati kama alivyosema seller within 3 weeks.
Amazon wana option ya filter ambayo inakusaidia kufanya hayo yote mnayosema kwa mfano unataka item ambayo inatumwa kuja Tanzania kuna opt hiyo...Mkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?[emoji124]
Kuna option unaweza kuwa na address ya US,then hiyo kampuni inakutumia hadi hapa bongo,soma hii thread hiiMkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?[emoji124]
Belo na @Mwl.RTC Njunwa Wamavoko UncleUber Paul S.S Tarakilishi Jerry10 Chief-Mkwawa vipi kuhusu hawa equity bank wana hiyo huduma ya online shopping?Equity wanatoa VISA CARD
Eqyity Wanayo mimi nilitumia card yao kulink kwenye account ya PayPalBelo na @Mwl.RTC Njunwa Wamavoko UncleUber Paul S.S Tarakilishi Jerry10 Chief-Mkwawa vipi kuhusu hawa equity bank wana hiyo huduma ya online shopping?
Haujazi fomu yeyote kama una kadi ya VISA au Mastercard unaregister kwenye PayPal kutumia kuna baadhi ya information za kadi yako zitatumika kwenye usajili.Ukisoma vizuri kwenye hii mada kuna member walishaelezea jinsi ya kujiunga na PayPalvipi utaratibu upoje? nao unajaza form au? samahani kwa maswali mengi Belo