Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi. Mimi bidhaa zangu kadhaa hazikufika nimewasiliana na supplier na wamenitumia tena, tena anakuomba supplier akurudishie hela au akutumie tena.EBay ni salama mara chache sana huwa watu wanazurumiwa but hzo site zingine ndio lazima utalia
Amazon na Ebay ndio site salama kununua bidhaaHii ulinunua site ipi
Vipi kuhusu Alibaba na Aliexpress, wao usalama ukoje? maana nimejaribu kuwachek nikaona kuna vitu vya bei rahisi kulinganisha na ebay na amazonAmazon na Ebay ndio site salama kununua bidhaa
Ndio wanairudisha kwenye Acc yakoVp paypal wakirudisha pesa wanairudisha katika account yako au inakuaje
Msaada hapo expiration date,tajazaje tarehe ya kikoma wakati sio msafirishaji mie.Naomba msaada wenu.
Ndugu Burton86jm Fuata hizo link mbili zinaufafanuzi wa kutoshaPitia hizo link pitia comments, fuata maelekezo, Kama hujaelewa mahala usisite kuuliza.
- LINK 1: Fahamu Jinsi ya Kulink/Kuregister Paypal account Tanzania
- LINK 2: How do we get to paypal code from CRDB bank statement to activate paypal debit card?
Karibu
mkuu samahan kidogo naomba unipe ufafanuz. kuna baadhi ya site kama bestbuy iko certified by pay pal naweza kununua kwa kuanza na utararibu wa pay pal i mean all site except ebay na amazoni nisije kuliwa peya yangu!ebay wanasisitiza utumie paypal kulipa na kataa kama muuzaji ataomba details zako za akaunti ya benki etc.
na nilichopenda ni, wanakwambia kama hujapata ulichonunua siku kumi baada ya muda wa kufikishwa basi waambie ebay na muuzaji ili waweze kujua kimepotelea wapi pia wanaweza kurefund
Kaka tunashukuru saana.. nilikuwa naomba kama unaweza usceeenshot ile profile ya muuzaji ulionunulia bidhaa maana anaonekana yuko faster katika kuship mizigo... tukimpata atasaidia wengi humu ndani mkuu.. Natanguliza shukraniNimekuja hapa kutoa experience yangu ya Aliexpress nadhani labda itawasaidi, sasa tarehe 29 niliamua kujitosa aliexpress maana kuna bidhaa niliziona eBay sema bei ilikuwa juu kidogo sasa nikadownload application yao ya Android, nikasign up (ilichukua dakika chache sana) nikaanza kwa kununua tempered screen protector, cover ya simu, pamoja na cable usb type c to USB ya kawaida (maana Dar nzima nimeikosa).
Sema ukweli nimepapenda aliexpress maana kwanza wanapayment system yao wenyewe ya Alipay haina shida unajaza tu card number basi simple, pili kwenye review watu wanapost hadi picture so unajua kifaa unacho agiza kutafananaje, tatu bidhaa unaweza kutrack kwenye mobile app pale pale nne buyers wako
fasta sana kujibu matatizo uliyonayo.
Sasa kwenye bidhaa yani nilivyo Agiza na kulipia shipping (ya juu ilikuwa 3$) vyote vimefika Dar tarehe 11 mwezi huu so vilichukua siku 12 na posta wakanitumia message nikachukue.
So kama kuna mtu alikuwa anaogopa ondoa shaka cha msingi soma review za seller, angalia rating na nunua bidhaa yenye buyers wengi kidogo.. Ndio hayo tu.
Bila tabu huyu ndio nimenunulia USB c cable Check out this recommended store on AliExpress. Find great products at low prices!Kaka tunashukuru saana.. nilikuwa naomba kama unaweza usceeenshot ile profile ya muuzaji ulionunulia bidhaa maana anaonekana yuko faster katika kuship mizigo... tukimpata atasaidia wengi humu ndani mkuu.. Natanguliza shukrani
Bila tabu huyu ndio nimenunulia USB c cable Check out this recommended store on AliExpress. Find great products at low prices!
Wireless Technology - Small Orders Online Store, Hot Selling and more on Aliexpress.com | Alibaba Group
(from AliExpress )
Nashukuru mkuu... sasa katika upande wa shipping ulitymia carrier gani (China post.. singapore) au hakukujulisha method ya kutuma... na posta hukupata usumbufu na mzigo wako?!