Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mkuu hiyo Aliexpress hawahitaji mambo ya paypal?
 
Hapana mr,hawa wana mfumo wao wa malipo unaitwa Alipay,ni salama pia.Mimi nimefanya malipo leo kabla sijafuata hata bank statement kwa ajili ya ku comfirm card kwenye paypal.Kwa Aliexpress card ikishawezeshwa tu na Bank yako husika,you are good to go.Hivi ndivo order yangu inavoonekana kwa sasa
 
Attachments

  • ORDER.2.jpg
    77.4 KB · Views: 129
Na mi hii nahitaji kununua Online but nashindwa Nitumie benki gani na jinsi mzigo utakvyosafiri
MSAADA TAFADHALI!!
 
Na mi hii nahitaji kununua Online but nashindwa Nitumie benki gani na jinsi mzigo utakvyosafiri
MSAADA TAFADHALI!!
Swali kama hilo niliwahi jiuliza hata mimi nyakati hizo zilizopita, sasa take your time anza kusoma huuuzi toka mwanzo and that what I did na sasa nimeelewa naagiza vitu na vinafika hadi ninapotaka vifike.
 
Mkuu asante sana kwa feedback.
Nimeona umenunua case ya LG Nexus 5x, vipi simu ulinunulia hapa bongo ama uliagiza online?
Mi niko kwenye harakat za kuiagiza kutoka ebay
 
Mkuu asante sana kwa feedback.
Nimeona umenunua case ya LG Nexus 5x, vipi simu ulinunulia hapa bongo ama uliagiza online?
Mi niko kwenye harakat za kuiagiza kutoka ebay
Simu hii niliagiza pia eBay. Sema ukweli camera yake ni funika especially kwenye usiku yani pale haina mpinzani hata S7 inakaa.

Sema even though kwa sasa ni cheap ningekushauri usubiri kwanza ucheki nexus za mwaka huu zita kuwaje. Maana simu yenyewe iliniletea issues kidogo za screen flickering nikabidi niuze.
 
Nimepitia review nyingi za hii simu na kwa kweli nmeipenda sana. Ningesubiri za mwaka huu ila nahofia bei zitakuwa juu na mimi sitaki kuspend zaid ya $400 plus shipping. nimeamua tu nichukue hii.

Je ni kweli kwamba ina lag sana?
 
Kwa 400$ ungetulia ukapata Nexus 6p 32gb but 5x sio mbaya maana naona kwa sasa zimeshuka hadi below 290$.

Na tokea update ya March hivi nadhani.. Tatizo la lag pamoja na yellow display lilikuwa fixed yani ile simu sijawahi kuona stutter yoyote kwenye switching apps.
 
Samahani mkuu, kuna sehemu ebay ukitaka kununua kitu kuna, buy now, order na watch. Hiyo wach ina maana gani?
 
Samahani wakuu najua nachouliza kinaweza kuwa humu humu ila kwa km utakuwa unajua nisaidie tu. Namna ya kujaza hapo
-street 1
-postal code
-city
-state/province/Region
 
Attachments

  • 1466657908026.jpg
    27.9 KB · Views: 120
Samahani mkuu, kuna sehemu ebay ukitaka kununua kitu kuna, buy now, order na watch. Hiyo wach ina maana gani?
Kwenye watch ni kwamba kuna labda bidhaa umeipenda lakini Huna ela hiyo kwa sasa au unasubiri ipungue bei kwaiyo unaiweka kwenye hiyo sehemu ya watch ilikuifuatilia mpaka ifike bei unayoitaka wewe.
 
Kwenye watch ni kwamba kuna labda bidhaa umeipenda lakini Huna ela hiyo kwa sasa au unasubiri ipungue bei kwaiyo unaiweka kwenye hiyo sehemu ya watch ilikuifuatilia mpaka ifike bei unayoitaka wewe.

Shukrani mkuu, ila nina ombi lingine hapo juu nahitaji msaada
 
Samahani wakuu najua nachouliza kinaweza kuwa humu humu ila kwa km utakuwa unajua nisaidie tu. Namna ya kujaza hapo
-street 1
-postal code
-city
-state/province/Region

-street 1 andika Sanduku la posta unayoitumia mfano P. O. Box 12345
-postal code andika +255 (au tafuta postal code ya eneo lako hapa Postcode List
-city andika Dar-es-Salaam
-state/province/Region andika Tanzania
 
Samahani wakuu najua nachouliza kinaweza kuwa humu humu ila kwa km utakuwa unajua nisaidie tu. Namna ya kujaza hapo
-street 1
-postal code
-city
-state/province/Region
Lakini uwe unasoma mwanzo kwanza mpaka tuliko,kwa msaada street 1 jaza jina la kata kisha street 2 jaza jina la mtaa ndivyo nilivyojaza na ninapata mzigo mie.
 
ulitumia njia gani kulipia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…