Mbona Eqiuty bank hakuna kujisajili.Sababu ya kuingiza process ya kusajili card (mteja kukubali kutumia kadi kwa manunuzi 'online' ni kumlinda mteja. Akiwa amessjili inakuwa akijuwa kwamba manunuzi Yanayofanywa kwenye internet 'online' ameyaidhimisha kwa hiyo ana wajibu wa kulinda taarifa (namba na namba ya siri ya card) yake. Benki haitakubali kubeba risk ya wateja wake kufanya miamala kwenye internet bila kujua athari za kufanya hivyo! Tunaombavwateja wazingatie 'terms and conditions'
Za kila huduma ili waepuke matatizo! Msibaki tu kulaumu processes/procedures za Benki kwani zote zinalenga kulinda usalama wa fedhaza wateja!
Happy New year!
Kama unamaanisha PayPal, hapana unatumia payment system yao inaitwa Alipayhivi alibaba na allexpress wanaruhusu paybal?
sasa km nina paybal nifanyeje kujiunga na ali pay ni sh ngapi?Kama unamaanisha PayPal, hapana unatumia payment system yao inaitwa Alipay
Duuuh napenda sna kufanya manunuzi mtandaon ila mashaka teleSimu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Kwa usalama zaid na kujitoa mashaka nunua kwa kutumia paypal kwa kuwa wao security yao ni ya hali ya juu sana ila shida yao ni kwamba nao wanafanya deductions ya vicent kdg kwa ajili ya conversion ya exchange rate ya pesa.Duuuh napenda sna kufanya manunuzi mtandaon ila mashaka tele
Kama unamaanisha PayPal, hapana unatumia payment system yao inaitwa Alipay
Haina kujiunga unaweka tu number ya Kadi yako basi fasta tu Alipay na ipo secure vile vile kama PayPal.. Download tu application ya AliExpress hamna usumbufusasa km nina paybal nifanyeje kujiunga na ali pay ni sh ngapi?
Poa poaKwa usalama zaid na kujitoa mashaka nunua kwa kutumia paypal kwa kuwa wao security yao ni ya hali ya juu sana ila shida yao ni kwamba nao wanafanya deductions ya vicent kdg kwa ajili ya conversion ya exchange rate ya pesa.
hawazidishi hata thumuni au?1. nenda ebay.com kisha register chagua customer au kama wewe ni muuzaji chagua akaunti ya merchant.
2. kujiunga inabidi kadi yako ya benki (visa/mastercard) iwe imesajiliwa kwanza kununua mtandaoni, kisha nenda paypal.com weka details zako na za kadi yako kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) hapo kadi yako itakuwa verified tayari na paypal.
3. nenda sehemu yoyote. wanayokubali paypal nunua chochote, ingiza. detail za paypal, watakata gharama za icho kitu basi umemaliza
very easy
Ondoa mashakaDuuuh napenda sna kufanya manunuzi mtandaon ila mashaka tele
Usiogope mkuu ni raisi sana. Unapata vitu genuine kwa bei nafuu sana.Nami namzuka kweli wa ku order mzigo online
Mkuu unaweza nisaidia na mimi nikaanza kufanya manunuzi online hivi kwanini USA na UK hawatumi mizigo Africa haswa tz kama sikosei na wanakwambia ukitaka utumiwe huku contanct the seller na hivi nawezaje kuagiza mzigo kupitia dhl tzUsiogope mkuu ni raisi sana. Unapata vitu genuine kwa bei nafuu sana.