Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Ukiupitia huu uzi utapata ABC za nini cha kufanya ili kufanya manunuzi mtandaoni.Mkuu unaweza nisaidia na mimi nikaanza kufanya manunuzi online
Ni kweli baadhi ya wauzaji hawatumi huku africa bidhaa wanazo uza. Kila seller huwa na sababu yake kwa nini hatumi africa. Ila wengine huepuka ghalama za usafiri ambazo huzidi thamani ya manunuzihivi kwanini USA na UK hawatumi mizigo Africa haswa tz kama sikosei
Hapa nitakupa mfano hai.
- Ukiangalia hii item: 04-06 LEXUS RX-330 HEADLIGHTS FRONT LAMPS PAIR SET HID ONLY | eBay
- Inauzwa USD 192 tu, Ebay wamenitaka kuwasiliana na muuzaji, baada ya kuwasiliana naye, hii ndio ghalama ya kutuma tanzania USD 239.97
- Hivyo kuna seller wako tayari kutuma africa (tanzania) moja kwa moja iwapo mnunuzi utakuwa tayari kulipia hiyo ghalama.
- Ila item hiyo hiyo iwapo inapokelewa USA ni muuzaji hutoa kwa FREE SHIPPING.
-Nimetolea sababu moja tu. ila zaweza kuwepo sababu zingine
- DHL ni msafirishaji wa bidhaa uliyonunua,hivi nawezaje kuagiza mzigo kupitia dhl tz
- Ili usafirishiwa kwa DHL ni wajibu wako kuwasiliana na muuzaji kabla ya kufanya malipo, ili akupe hesabu itakayojumuisha ghalama za DHL, usipo wasilina na muuzaji kuhusu hili, yeye atatuma kwanjia aliyoiainisha katika ukurasa wa manunuzi. Huwa iko wazi.
Je bado unahitaji msaada wa kusafirishiwa bidhaa kutoka nje ya nchi.
- Pitia hii thread: www.v.ht/buy4me
- Nitakusafirishia mzigo wako kutoka mahala popote utakapo nunua. Bila kujali muuzaji anatuma africa au hatumi, utakufikia tu.
Simu: 0717 54 57 62