Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Hadumini mkuu( Microscope) Ilikuwa eBay, muuazaji alikuwa wa China, naona kila niiingia siteyake item removed, Ndo eBay wakasema nisubilie mpka 22/08/2019 ndo nifungue kesi,umeagiza lini na Shipping gani ulitumia?
Sie tunaagiza Aliexpress na kuchagua Standard Shipping au Singapore post ili mzigo ufike haraka ndani ya wiki 3
Ndicho nilichokifanya piaumeagiza lini na Shipping gani ulitumia?
Sie tunaagiza Aliexpress na kuchagua Standard Shipping au Singapore post ili mzigo ufike haraka ndani ya wiki 3
Nimeagiza tar. 19 Julyumeagiza lini na Shipping gani ulitumia?
Sie tunaagiza Aliexpress na kuchagua Standard Shipping au Singapore post ili mzigo ufike haraka ndani ya wiki 3
Tracking namba zinaonyesha mzigo umeingia tar 30 mwezi wa saba na taarifa zaidi zinaonyesha umekwama custom tangu tarehe mosi ya mwezi huukwani tracking number zinasemaje?
Kama vipi j3 ibukia posta ndugu
Ngoja nami nianze kutumia hii company,umeagiza lini na Shipping gani ulitumia?
Sie tunaagiza Aliexpress na kuchagua Standard Shipping au Singapore post ili mzigo ufike haraka ndani ya wiki 3
Yes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.Ngoja nami nianze kutumia hii company,
Ili mzigo ufike si nitumie anuani ya posta au hata ya kwangu ya kazini, mzigo unaweza nifikia?
Asante sana mkuu, ngoja nijaribu Ku order kitu kidogo, kikinifikia ndo nianze mizigo mikubwa,Yes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.
Kama ndio mara ya kwanza Jisajiri Aliexpress kwa kujaza detail zako muhimu then anza kuagiza.
Ila kila unapoagiza kumbuka kuchagua Courrier kama ifuatavyo:-
View attachment 1171194na
1.kama utachagua hao niliozungushia rangi nyekundu kama watawahisha mzigo wako utapokea ndani ya siku 30 na wakichelewesha utasubiri hadi siku 90 au zaidi.
Ni mara chache sana ndio unaweza kuwahi.
2.Hapo kwenye Blue wakiwahi ni siku 23 ila hawatabiriki inaweza ikachukua mwezi na siku kadhaa.
3.Orange hiyo ndio standard shipping ila wakati mwingine inaweza Ikaandikwa Singapore post, hao ndio wakombozi wetu maana mzigo unafika ndani ya siku 23 na ukichelewa sana ni wiki 5 ila wakati mwingine inatokea mzigo unaingia ndani ya siku 12.
NB. Gharama za shipping inategemea alivyopanga Seller
Karibu Ndugu,Asante sana mkuu, ngoja nijaribu Ku order kitu kidogo, kikinifikia ndo nianze mizigo mikubwa,
Karibu Ndugu,
Anza na SD card,Flash,Saa na vingine kama hivyo
Mkuu samahan hapa kwenye
Address:
Contact name____________
Mobile number___________
Hapo kwenye mobile hapo niandike ya kwangu? Au ile ya mwenye sanduku LA posta nataka nitumie LA kituo flani cha redio
Chat na seller ukiona haeleweki fungua dispute ila ni vizuri ukatuambia ulichagua Courrier (shipping Method)gani?Jamani naomba ushauri. Nimenunua helmets mbilli Aliexpress kama wiki mbili sasa zimesha pita Cha kushangaza hadi sasa imeandikwa waiting for dispatch, na nikijaribu kuitizama inaonesha item is no item. Nifanyaje hapo? Msaada please
kama ebay open dispute mkuu maana hamna kinachoendelea hapo ukizubaa hela inaenda hiyo.Hadumini mkuu( Microscope) Ilikuwa eBay, muuazaji alikuwa wa China, naona kila niiingia siteyake item removed, Ndo eBay wakasema nisubilie mpka 22/08/2019 ndo nifungue kesi,
ipi hiyo?Na hii IPO alliexpress mkuu?
China Post Registered Air MailChat na seller ukiona haeleweki fungua dispute ila ni vizuri ukatuambia ulichagua Courrier (shipping Method)gani?
Baadhi ya seller wanakuwa out of stock yaani bidhaa husika inakuwa imesha hivyo wa nasubiri waletewe nyingine ndo wakutumie au wakati mwingine wa azembea tu.China Post Registered Air Mail
SingPost kuna items niliagiza ndani ya siku 10 zipo mkononi.Yes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.
Kama ndio mara ya kwanza Jisajiri Aliexpress kwa kujaza detail zako muhimu then anza kuagiza.
Ila kila unapoagiza kumbuka kuchagua Courrier kama ifuatavyo:-
View attachment 1171194na
1.kama utachagua hao niliozungushia rangi nyekundu kama watawahisha mzigo wako utapokea ndani ya siku 30 na wakichelewesha utasubiri hadi siku 90 au zaidi.
Ni mara chache sana ndio unaweza kuwahi.
2.Hapo kwenye Blue wakiwahi ni siku 23 ila hawatabiriki inaweza ikachukua mwezi na siku kadhaa.
3.Orange hiyo ndio standard shipping ila wakati mwingine inaweza Ikaandikwa Singapore post, hao ndio wakombozi wetu maana mzigo unafika ndani ya siku 23 na ukichelewa sana ni wiki 5 ila wakati mwingine inatokea mzigo unaingia ndani ya siku 12.
NB. Gharama za shipping inategemea alivyopanga Seller
Yes ishawahi kutokea yaani siku ya 8 tu Nilipata notification "parcel arrived destination country" Sema kuitia mkononi ikawa siku 4 mbele.SingPost kuna items niliagiza ndani ya siku 10 zipo mkononi.