Yes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.
Kama ndio mara ya kwanza Jisajiri Aliexpress kwa kujaza detail zako muhimu then anza kuagiza.
Ila kila unapoagiza kumbuka kuchagua Courrier kama ifuatavyo:-
View attachment 1171194na
1.kama utachagua hao niliozungushia rangi nyekundu kama watawahisha mzigo wako utapokea ndani ya siku 30 na wakichelewesha utasubiri hadi siku 90 au zaidi.
Ni mara chache sana ndio unaweza kuwahi.
2.Hapo kwenye Blue wakiwahi ni siku 23 ila hawatabiriki inaweza ikachukua mwezi na siku kadhaa.
3.Orange hiyo ndio standard shipping ila wakati mwingine inaweza Ikaandikwa Singapore post, hao ndio wakombozi wetu maana mzigo unafika ndani ya siku 23 na ukichelewa sana ni wiki 5 ila wakati mwingine inatokea mzigo unaingia ndani ya siku 12.
NB. Gharama za shipping inategemea alivyopanga Seller