Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Mkuu hivi Samsung tablet s 4 Inch 8, kwa hapa Dar ntapata wapi?Simu zao zinakuwepo tu madukani kuzijua zinakuwa na sticker za warranty za smart care.
Wapo kariakoo wanaangalizana na mwendokasi, mjini pia jmall wapo.
Mkuu tab s4 ni highend haina version ya inch 8. ukienda official kwa mawakala wa samsung utazipata ila bei yake ndefu jiandae 1m+. Mawakala wapo kariakoo gerezani wanaangalia mwendokasi ama mjini jmall.Mkuu hivi Samsung tablet s 4 Inch 8, kwa hapa Dar ntapata wapi?
Iwe inapiga na kupokea simu
Tumia mpesa master cardukiwa unanunua watakuuliza shipping adress iwe sawa na paypal au utabadili, ila details za paypl lazima ziwe sawa na card
Dai refund mkuu usipofika, hao hawalipwi na ebay ukipeleka malalamikoMimi nilnunua earbud wiki mbili zilizopita nkspewa track number ila inaonesha tu mzgo unapotoka ila unakoelekea hamna, nkichat na muuzaj anasema nisiwe na hofu uko njian pia baada tu ya kulipa ile post ilifutwa ebay nkawa siioni ile earbud. But nlinunua bila kuona reviews za jamaa baadae nkakuta - ziko sawa na +, je nimepgwa au niwe mpole?
Jamaa alisema 15-35 days ispofka atakuwa responsible, je unanshsir je ila sku bado hazjaisha.Dai refund mkuu usipofika, hao hawalipwi na ebay ukipeleka malalamiko
subiri mkuu, hasa kama ni free shippingJamaa alisema 15-35 days ispofka atakuwa responsible, je unanshsir je ila sku bado hazjaisha.
Naombeni msaada wa kununua vitu online kama vile amazon ebay na kadhalika
Nataka kujua unatakiwa uwe una nini na nini nitumie njia gani ili inifikie kwa haraka na itatumia muda gani hadi kukufikia na online shop gani ina bei nzuri na wapo faster asanteni sana na samahani kwa kiswahilo kibuvu
kikuu wanlipa kwa account kama za Tigo pesa,M pesa ,Airtel money yaani kwa lain ya simuNataka kununua kitu kikuu lakini haikubali kulipia..kuna option za simu tu mpesa tigopesa na Airtel money
Acha uvivu wa kusoma mkuu, pitia vizuri huu uzi una kila kituJamani mi nataka kujua jinsi ya kufanya manunuzi AliExpress???mwenye kujua tusaidiane
Ndicho nilichoandika hapo juu... nikifika kwenye kuweka namba inagoma kuendeleakikuu wanlipa kwa account kama za Tigo pesa,M pesa ,Airtel money yaani kwa lain ya simu
Ndicho nilichoandika hapo juu... nikifika kwenye kuweka namba inagoma kuendelea
ila ukilipa kwa Mpesa ndo hainaga shida kuliko Tigo pesaScreen short hiyo page inayoonyesha imegoma weka hapa tuone tatizo ni nini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa ndege.Hivi aliexpress standard shipping wanasafirisha parcel kwa meli au ndege?