Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Habar wakuu
Nilinunua bidhaa kutoka Aliexpress lkn hadi sasa haijanifika na tarehe iliyowekwa ishapita, kwenye tracking inaonesha ipo in Airline lkn naon wiki ya tatu hii.
Wenye ujuzi tusaidiane jaman
 
Simu zao zinakuwepo tu madukani kuzijua zinakuwa na sticker za warranty za smart care.

Wapo kariakoo wanaangalizana na mwendokasi, mjini pia jmall wapo.
Mkuu hivi Samsung tablet s 4 Inch 8, kwa hapa Dar ntapata wapi?
Iwe inapiga na kupokea simu
 
Mkuu hivi Samsung tablet s 4 Inch 8, kwa hapa Dar ntapata wapi?
Iwe inapiga na kupokea simu
Mkuu tab s4 ni highend haina version ya inch 8. ukienda official kwa mawakala wa samsung utazipata ila bei yake ndefu jiandae 1m+. Mawakala wapo kariakoo gerezani wanaangalia mwendokasi ama mjini jmall.

Ipo tab 4 ya inch 8 (bila s) sema ni ya zamani hizi utazipata maduka ya kawaida Aggrey na nyingi zitakuwa used maana imetoka 2014.
 
Mimi nilnunua earbud wiki mbili zilizopita nkspewa track number ila inaonesha tu mzgo unapotoka ila unakoelekea hamna, nkichat na muuzaj anasema nisiwe na hofu uko njian pia baada tu ya kulipa ile post ilifutwa ebay nkawa siioni ile earbud. But nlinunua bila kuona reviews za jamaa baadae nkakuta - ziko sawa na +, je nimepgwa au niwe mpole?
 
Dai refund mkuu usipofika, hao hawalipwi na ebay ukipeleka malalamiko
 
Naombeni msaada wa kununua vitu online kama vile Amazon, eBay na kadhalika.

Nataka kujua unatakiwa uwe una nini na nini nitumie njia gani ili inifikie kwa haraka na itatumia muda gani hadi kukufikia na online shop gani ina bei nzuri na wapo faster. Asanteni sana.
 
Naombeni msaada wa kununua vitu online kama vile amazon ebay na kadhalika
Nataka kujua unatakiwa uwe una nini na nini nitumie njia gani ili inifikie kwa haraka na itatumia muda gani hadi kukufikia na online shop gani ina bei nzuri na wapo faster asanteni sana na samahani kwa kiswahilo kibuvu
 
Nataka kununua kitu kikuu lakini haikubali kulipia..kuna option za simu tu mpesa tigopesa na Airtel money
 
Nataka kununua kitu kikuu lakini haikubali kulipia..kuna option za simu tu mpesa tigopesa na Airtel money
kikuu wanlipa kwa account kama za Tigo pesa,M pesa ,Airtel money yaani kwa lain ya simu
 
Jamani mi nataka kujua jinsi ya kufanya manunuzi AliExpress???mwenye kujua tusaidiane
 
Ndicho nilichoandika hapo juu... nikifika kwenye kuweka namba inagoma kuendelea

Screen short hiyo page inayoonyesha imegoma weka hapa tuone tatizo ni nini

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom