Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

NDIYO! SLP YOYOTE UTAKAYOANDIKA NDIYO WATAKAYOITUMIA. Siyo lazima iwe yako binfsi

nimeandika SLP, kama wanataka kuchaji kodi wanatumia njia gani kukata? au wataniita posta?
 
Kaka njunwa wamavoko sio dawa ni vifaa vidogo vidogo vya maabara kama microscope incubator?
 
Hey guys, so i've just won this item in a bidding war. Nimekamilisha malipo and i'm now waiting for the LED Samurai watch to arrive. I will get back to give out feed back once i receive it.
$%28KGrHqVHJFQFGMOPJP6OBRmU-ZJHfw%7E%7E60_35.JPG
After more than two months after i ordered this thing and a refund later, imefika this week!! Well got a call from post offices to go nd take my PCL and after having a chat na the guys over there and the TRA lads naweza sema posta mzigo wako kupotea au kuibiwa ni kitu kimoja kigumu sana, kinyume na nnavyosikia!!! Wana strick protocol na kama indeed mzigo wako umewahi potea posta then upo baina ya wa2 wachache tu!!
attachment.php

attachment.php

attachment.php

View attachment 134121
View attachment 134122
View attachment 134123
 
Daaah!imechukua siku nyingi mno I see

Mm nimepokea refund juzi from eBay lkn ninavyosemaga kila siku ukiona umerudishiwa Refund na unatumia CRDB hiyo hela sahau kabisa watakuzungusha na kama ndo 15$ sijui ngapi unapotezea
 
Kuna mdada yup holland no frnd wangu fb anawauziga sana wanawake nguo huko fb kama siku tatu zimepita kaandika kua now unaweza nunua kitu chochote kutoka ebay na mitandao mingine kisha ukaweka adress yaake. Utacholipia ww ni shiping cost ya hadi kufika dar ndo utauchukulia ukiingia fb swarch holland wax fashion utancheki
 
Kaka njunwa wamavoko vifaa vya biashara kwa ajili ya maabara tu sio dawa

Ok kama sio dawa sio issue sana na wala haiwez involve hawa tbs wala tfda
Cha muhimu nenda web ya tra uone ni vitu gani havifanyiwi taxation maana ninavyojua health equipments hazifanyiwi taxation
 
Kuna mdada yup holland no frnd wangu fb anawauziga sana wanawake nguo huko fb kama siku tatu zimepita kaandika kua now unaweza nunua kitu chochote kutoka ebay na mitandao mingine kisha ukaweka adress yaake. Utacholipia ww ni shiping cost ya hadi kufika dar ndo utauchukulia ukiingia fb swarch holland wax fashion utancheki

Hapo ukizubaa unalizwa ila kama ni vitu vidogo kama saa waweza tumia adress yake lkn bado huo ni ujinga wakati kuna trusted company kama myus.com afu umtumie dada usiyemjua....hao ndo scammers wenyewe na kama sio scammer lazima shipping cost apandishe ili apate cha juu
 
hapo ukizubaa unalizwa ila kama ni vitu vidogo kama saa waweza tumia adress yake lkn bado huo ni ujinga wakati kuna trusted company kama myus.com afu umtumie dada usiyemjua....hao ndo scammers wenyewe na kama sio scammer lazima shipping cost apandishe ili apate cha juu

nmeweka kama kushare tu lakini huyi dada si tapeli sema kama ulivyosema anaweza pandisha cost
 
nmeweka kama kushare tu lakini huyi dada si tapeli sema kama ulivyosema anaweza pandisha cost

Ngoja nikupe hint kaka yaani kuna vitu hauitaji adress ya mtu kabisa yako tu inatosha and within 2 weeks mm huwa naenda chukua posta...nimeagiza TABLET from Hongkong despite the fact kwamba ina Lithium ion iliweze fika bongo within 2weeks kwa njia posta na hii ilichelewa sababu china Li ion battery zina kimbembe kuzi ship hivo aliituma Germany kwanza afu from Germany ndo ikaja bongo within 14days na thamani yake ilikuwa 328$

Sasa ya nn ku risk parcel yako na huyo mdada wakati posta ipo

Na kama unanua vitu vya bei watumie DHL utaona kama utapata shida yoyote
 
ngoja nikupe hint kaka yaani kuna vitu hauitaji adress ya mtu kabisa yako tu inatosha and within 2 weeks mm huwa naenda chukua posta...nimeagiza tablet from hongkong despite the fact kwamba ina lithium ion iliweze fika bongo within 2weeks kwa njia posta na hii ilichelewa sababu china li ion battery zina kimbembe kuzi ship hivo aliituma germany kwanza afu from germany ndo ikaja bongo within 14days na thamani yake ilikuwa 328$

sasa ya nn ku risk parcel yako na huyo mdada wakati posta ipo

na kama unanua vitu vya bei watumie dhl utaona kama utapata shida yoyote

thanks bro ntafanyia kazi iyo kitu
 
nimeandika SLP, kama wanataka kuchaji kodi wanatumia njia gani kukata? au wataniita posta?

Unaweza hapohapo Posta kukuta kikaratasi kinachoonyesha charges unazotakiwa kulipia mfano VAT na DUTY nk
 
After more than two months after i ordered this thing and a refund later, imefika this week!! Well got a call from post offices to go nd take my PCL and after having a chat na the guys over there and the TRA lads naweza sema posta mzigo wako kupotea au kuibiwa ni kitu kimoja kigumu sana, kinyume na nnavyosikia!!! Wana strick protocol na kama indeed mzigo wako umewahi potea posta then upo baina ya wa2 wachache tu!!
attachment.php

attachment.php

attachment.php

View attachment 134121
View attachment 134122
View attachment 134123

Mkuu embu nisaidie umefanya fanyaje kuanzia the first step hadi mwisho
 
Ngoja nikupe hint kaka yaani kuna vitu hauitaji adress ya mtu kabisa yako tu inatosha and within 2 weeks mm huwa naenda chukua posta...nimeagiza TABLET from Hongkong despite the fact kwamba ina Lithium ion iliweze fika bongo within 2weeks kwa njia posta na hii ilichelewa sababu china Li ion battery zina kimbembe kuzi ship hivo aliituma Germany kwanza afu from Germany ndo ikaja bongo within 14days na thamani yake ilikuwa 328$

Sasa ya nn ku risk parcel yako na huyo mdada wakati posta ipo

Na kama unanua vitu vya bei watumie DHL utaona kama utapata shida yoyote

Mkuu kwenye kuji"register na ebay kuna sehemu unaambiwa uandike postal code,

Hii ni kitu gani kwa maana ukiandika p.o box inakataa

Asante
 
Kumbuka pia kifaa cha eBay iwapo kitakuwa fault baada ya kutumiwa utajuta pia maana itabidi ukisafirishe ukirudishe huko ili upewe kingine afu tena ulupie cost ya kutumiwa tena upya...mwisho wa siku mle mle

.
Nakumbuka mwaka 2013 kama mwezi june hv
.
Kulikuwa na bug inayokuwezesha kununua kitu chochote kwa 1 rupee ambayo ni sawa na 0.22 usd hv
.
Wachache waliitumia ile bug ila kuna jamaa akajifanya yeye ndo kagundua waka i fix.......
.
 
Mimi last week nimepoteza stylus ya galaxy 8.nimetembea maduka yote posta sikuipata,mmoja wa mwenye duka akaniambia aniagizie kwa laki moja.nimecheki kwenye-ebay ni dola 5,usafiri dola 5, inafika Dar kesho jumamos from hong kong.
 
Back
Top Bottom