Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

hizo wasap zenu nikupotezeana muda tuu tokea siku yakwanza mngeanzisha group huu uzi ungekuwa page ya 3 achen wasap weken mjadala uwe wazi ili mgen yeyote ajue na matapeli wajulikane haraka huko wasap n full kudownload hakuna watu wa field
 
Shamba ndo hili hapa niweke mbegu gani niweze kuvuna mavuno mazuri pili natakiwa kuwa na vitu gani ili nisijeumia kwa Hali yahewa Sasa n mvua za vuli ndo zinaanza nipo arusha.

Wajuzi wenye taaluma wenye experience karibuni
IMG_20181022_144550.jpg
IMG_20181022_144832.jpg
IMG_20181022_145315.jpg

Jiunge na whatsapp group kuna watu mule wanaweza kukushauri
 
hizo wasap zenu nikupotezeana muda tuu tokea siku yakwanza mngeanzisha group huu uzi ungekuwa page ya 3 achen wasap weken mjadala uwe wazi ili mgen yeyote ajue na matapeli wajulikane haraka huko wasap n full kudownload hakuna watu wa field
Mkuu hujalazimishwa kuja whatsapp ambao hampendi whatsapp uliza hapa utajibiwa japo kule kuna wataalam wengine ambao hawapo jf lkn mule tunao na ukiuliza swali unajibiwa kwa wakati

Alafu unaposema ujue matapeli unamaanisha nini? Umetapeliwa nini? Sisi tunasaidiana ushauri, maoni na mambo mengine
 
Jaman kama kunamtu anafahamu kuhusu dawa za palizi za nyanya kwa maana ya dawa za kuua magugu baada ya kupanda na kabla ya kupanda nyanya

Pia na kwa upande wa tangawiziii itapendeza zaidi
 
IMG_20181124_063507.jpg
wakuu naomba kujua hizi ndulele(za njano hapo kwenye mche wa nyanya) zinamahusiano gani na kilimo cha nyanya!
Hapa Dodoma ninapolima majirani zangu wawili niliopakana nao wameweka hizi karibu kila mstari. Je, nini maana yake?
 
Attachments

  • IMG_20181124_063522.jpg
    IMG_20181124_063522.jpg
    353.4 KB · Views: 101
View attachment 944522wakuu naomba kujua hizi ndulele(za njano hapo kwenye mche wa nyanya) zinamahusiano gani na kilimo cha nyanya!
Hapa Dodoma ninapolima majirani zangu wawili niliopakana nao wameweka hizi karibu kila mstari. Je, nini maana yake?
Nimewahi elekezwa na bibi yangu kiwa hizo ni kinga ya wachawi wasiharibu mazao
 
Wakuu nataka nilime nyanya kipindi hiki kinaelekea masika... Nini changamoto kubwa na je nazikabili vp.
 
Mk
Fanya hivi mkuu,tafuta spraying program toka kampuni lolote la dawa,hili litakusaidia achana na upulizwaji wa kiholela,mfano Mimi ninayo ya bayer crop science wale wazee wa belt kama unawajua
Mkuu naomba hii program, maana nafikiri ndipo sehemu rahisi ya kufeli kwenye hiki kilimo.
 
Mkuu samahani nikikamua jarrah au gammah naweza pata matokeo chanya au nitapoteza muda na gharama tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo unakua unafanya betting ni sawa na kutaka wanadamu wazazi wazae mtoto waliefanana nae,huwa ni fifty fifty zinaweza fanya vyema au zinaweza kukuangusha,epuka betting kanunue tu mbegu maana gharama ya muda,madawa,mbolea,maji,nguvu kazi etc ni zaidi ya gharama ya mbegu so cost ya mbegu pekee isikupe hasara mkuu
 
Kuna zara f1 mbegu bora sana na inavumilia magonjwa yote ya mnyauko,ni ya balton tz si mchezo hiyo,production per acre crate 800 unapata
 
Back
Top Bottom