Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Jiunge na whatsapp group kuna watu mule wanaweza kukushauriShamba ndo hili hapa niweke mbegu gani niweze kuvuna mavuno mazuri pili natakiwa kuwa na vitu gani ili nisijeumia kwa Hali yahewa Sasa n mvua za vuli ndo zinaanza nipo arusha.
Wajuzi wenye taaluma wenye experience karibuni
Mkuu hujalazimishwa kuja whatsapp ambao hampendi whatsapp uliza hapa utajibiwa japo kule kuna wataalam wengine ambao hawapo jf lkn mule tunao na ukiuliza swali unajibiwa kwa wakatihizo wasap zenu nikupotezeana muda tuu tokea siku yakwanza mngeanzisha group huu uzi ungekuwa page ya 3 achen wasap weken mjadala uwe wazi ili mgen yeyote ajue na matapeli wajulikane haraka huko wasap n full kudownload hakuna watu wa field
Nimewahi elekezwa na bibi yangu kiwa hizo ni kinga ya wachawi wasiharibu mazaoView attachment 944522wakuu naomba kujua hizi ndulele(za njano hapo kwenye mche wa nyanya) zinamahusiano gani na kilimo cha nyanya!
Hapa Dodoma ninapolima majirani zangu wawili niliopakana nao wameweka hizi karibu kila mstari. Je, nini maana yake?
duh ahsante mkuu sasa hawa jamaa vipi mbona me hawaniambii na mimi niweke au wanahisi me ndo mchawi mwenyewe nini!Nimewahi elekezwa na bibi yangu kiwa hizo ni kinga ya wachawi wasiharibu mazao
Nifuate in box nikuelekeze jinsi ya kuweka bila kuonekana, hiyo ni daw mkuu, ina mambo mengi sana ila mi najua moja tu, kinga ya wachawi waharibifu wa mazao.duh ahsante mkuu sasa hawa jamaa vipi mbona me hawaniambii na mimi niweke au wanahisi me ndo mchawi mwenyewe nini!
Mkuu naomba hii program, maana nafikiri ndipo sehemu rahisi ya kufeli kwenye hiki kilimo.Fanya hivi mkuu,tafuta spraying program toka kampuni lolote la dawa,hili litakusaidia achana na upulizwaji wa kiholela,mfano Mimi ninayo ya bayer crop science wale wazee wa belt kama unawajua
Mkuu samahani nikikamua jarrah au gammah naweza pata matokeo chanya au nitapoteza muda na gharama tu[emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
Mkuu samahani nikikamua jarrah au gammah naweza pata matokeo chanya au nitapoteza muda na gharama tu
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani mkuu kwa msaada wako kuhusu kukamua nyanya tatizo niko mkoani hata access ya kuwapata balton inakuwa shida, how much does it cost iyo mbegu per acreKuna zara f1 mbegu bora sana na inavumilia magonjwa yote ya mnyauko,ni ya balton tz si mchezo hiyo,production per acre crate 800 unapata