Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Mkuu riogrand nibora kuliko mkulima? Au Tanya kwa uzoefu wako inaweza kunilipa ikiwa ntaihudumia vizuri ?navip naweza kuotesha kitalu kwasasa vip soko lake litakua zuri
Nipo bagamoyo
Mkulima zamani zilikuwa vzr lkn kwa sasa hivi riogrand safari ndio mbegu nzuri kwa hizi za kawaida
sijui mazingira ya bagamoyo ila kwasasa hivi morogoro tunaingia msimu wa kilimo cha mpunga sababu tunaenda kwenye masika, nyanya hadi mwakani sijui huko Bagamoyo.
 
Nyanya inayosambaa ardhini kama zilizopo kwenye shamba lako, na nyanya inayofungwa kwenye miti kwa kamba ni ipi inatoa mazao mengi.
 
Asante kwa elimu nzuri.nyanya gani haifungwi kwenye miti.niko rukwa
 
Nyanya inayosambaa ardhini kama zilizopo kwenye shamba lako, na nyanya inayofungwa kwenye miti kwa kamba ni ipi inatoa mazao mengi.
Zote ni sawa tu, mbegu hizohizo tofauti ni eneo la shamba kama una eneo Dogo ndio unaweka miti ili zikuwe kwenda juu
Ila ni uwe na eneo kubwa na uziache zitambae chini.
 
mkulima zamani zilikuwa vzr lkn kwa sasa hivi riogrand safari ndio mbegu nzuri kwa hizi za kawaida
sijui mazingira ya bagamoyo ila kwasasa hivi morogoro tunaingia msimu wa kilimo cha mpunga sababu tunaenda kwenye masika,
nyanya hadi mwakani sijui huko bagamoyo
Masika huku huanza mwezi wapili kwenda watatu nakuendelea kumbe naweza otesha kitalu sasa japo wanasema kitakua kiangazi sana najua kali kuwa linaweza kuathiri miche
 
hakuna shida mkuu Ila usije ukapanda kivulini kuogopa jua miche haitakuwa vzr, jitahidi kumwagilia maji mengi asubuhi na jioni
Sawa mkuu napanda riogrand ntakua vip niandae matuta kwajili yakupandikiza au naweza pandikiza bila hata matuta
 
Back
Top Bottom