Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
hii mbegu ya assila wasambazaji wake wapo arushaHii unayoitumia inasambazwa na kampuni gani? hapo ndio pa kuanzia maana nikienda kibo seeds unakuta ina jina jingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii mbegu ya assila wasambazaji wake wapo arushaHii unayoitumia inasambazwa na kampuni gani? hapo ndio pa kuanzia maana nikienda kibo seeds unakuta ina jina jingine
Mkulima zamani zilikuwa vzr lkn kwa sasa hivi riogrand safari ndio mbegu nzuri kwa hizi za kawaidaMkuu riogrand nibora kuliko mkulima? Au Tanya kwa uzoefu wako inaweza kunilipa ikiwa ntaihudumia vizuri ?navip naweza kuotesha kitalu kwasasa vip soko lake litakua zuri
Nipo bagamoyo
Wadau hivi naweza kuweka dawa buster siku moja kwenye nyanya?hii mbegu ya assila wasambazaji wake wapo arusha
Ndio unaweza, tena unaweza kuchanganya pamoja kwenye solo ukapiga kwa pamojaWadau hivi naweza kuweka dawa buster siku moja kwenye nyanya?
Zote ni sawa tu, mbegu hizohizo tofauti ni eneo la shamba kama una eneo Dogo ndio unaweka miti ili zikuwe kwenda juuNyanya inayosambaa ardhini kama zilizopo kwenye shamba lako, na nyanya inayofungwa kwenye miti kwa kamba ni ipi inatoa mazao mengi.
nyanya kama haizai sn huwezi kufunga kwenye mtiAsante kwa elimu nzuri.nyanya gani haifungwi kwenye miti.niko rukwa
Ubarikiwe kwa elimu hii.Mungu akubarikinyanya kama haizai sn huwezi kufunga kwenye mti
nashukuru sn mkuuUbarikiwe kwa elimu hii.Mungu akubariki
Masika huku huanza mwezi wapili kwenda watatu nakuendelea kumbe naweza otesha kitalu sasa japo wanasema kitakua kiangazi sana najua kali kuwa linaweza kuathiri michemkulima zamani zilikuwa vzr lkn kwa sasa hivi riogrand safari ndio mbegu nzuri kwa hizi za kawaida
sijui mazingira ya bagamoyo ila kwasasa hivi morogoro tunaingia msimu wa kilimo cha mpunga sababu tunaenda kwenye masika,
nyanya hadi mwakani sijui huko bagamoyo
tafuta sehemu nzuri kuoteshea kitalu na mwagia maji mengiMasika huku huanza mwezi wapili kwenda watatu nakuendelea kumbe naweza otesha kitalu sasa japo wanasema kitakua kiangazi sana najua kali kuwa linaweza kuathiri miche
Shukrani ntazidi kukuomba ujuzi zaidi mkuutafuta sehemu nzuri kuoteshea kitalu na mwagia maji mengi
hakuna shida mkuu Ila usije ukapanda kivulini kuogopa jua miche haitakuwa vzr, jitahidi kumwagilia maji mengi asubuhi na jioniShukrani ntazidi kukuomba ujuzi zaidi mkuu
Sawa mkuu napanda riogrand ntakua vip niandae matuta kwajili yakupandikiza au naweza pandikiza bila hata matutahakuna shida mkuu Ila usije ukapanda kivulini kuogopa jua miche haitakuwa vzr, jitahidi kumwagilia maji mengi asubuhi na jioni
mm sijawahi kutumia matuta sijui huko uwa uwa mnapanda vpSawa mkuu napanda riogrand ntakua vip niandae matuta kwajili yakupandikiza au naweza pandikiza bila hata matuta
Vip katika upandaji shimo moja mbegu moja au mbili?mm sijawahi kutumia matuta sijui huko uwa uwa mnapanda vp
Hapo inategemea na shamba lako, mbegu, na umepiga VP mashimoVip katika upandaji shimo moja mbegu moja au mbili?
Shukranihapo inategemea na shamba lako, mbegu, na umepiga VP mashimo
Ila weka mbili ndio bora zaidi
poa poa mkuuShukrani