x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera aisee...Hii Assila ni mbegu nzur sana mno,nilishawahi kuipanda na inazaa sana,niliwahi kujaribu kupanda ndani ya heka mbili tuliweka Assila,Anna F1,Kipato .Zilianza vizur tukavuna kidogo ila changamoto ya ukame ikatukabili..tulikua tunategemea mto! ila nilijifunza kitu.poa poa mkuu
kweli kabisa mkuu assila inataka maji mengi inazaa sana alafu matunda yake makubwaHongera aisee...Hii Assila ni mbegu nzur sana mno,nilishawahi kuipanda na inazaa sana,niliwahi kujaribu kupanda ndani ya heka mbili tuliweka Assila,Anna F1,Kipato .Zilianza vizur tukavuna kidogo ila changamoto ya ukame ikatukabili..tulikua tunategemea mto! ila nilijifunza kitu.
Sure! je ningependa kujua ulilima kwa kutegemea mto,mvua,au kisima? na haya mavuno ni ya kipindi hiki? nasikia hapa kati nyanya zilipanda bei! am sure umetusua best..kweli kabisa mkuu assila inataka maji mengi inazaa sana alafu matunda yake makubwa
moro tunategemea mto na visimaSure! je ningependa kujua ulilima kwa kutegemea mto,mvua,au kisima? na haya mavuno ni ya kipindi hiki? nasikia hapa kati nyanya zilipanda bei! am sure umetusua best..
Mkuu eden na asila gm5 na gm10 wanauzaje? Msaada plz nataka nipande kati ya hizo mbeguhii mbegu ya assila gramu 50 inauzwa 560,000/=
shamba lilikuwa la heka 2Ka mkubwa.... izo nyanya zoote umevuna kwenye eneo la ukubwa gani... au matuta managap ya ukubwa gan....
poa nakutumia pmNaomba msaada wa namba yako ya simu...nipo Morogoro nitakutafuta.
ngoja niulizie nitakujibuMkuu eden na asila gm5 na gm10 wanauzaje? Msaada plz nataka nipande kati ya hizo mbegu
Ntafurahingoja niulizie nitakujibu
Duh... heka mbili tu.shamba lilikuwa la heka 2
hakuna mautundu, shamba liwe zuri mbegu bora na Huduma nzuriDuh... heka mbili tu.
Nipe mautundu... umwagiliaji ulikua unatumia njia gani.... na masoko yako vip??
Na nijiandae kwa vitu gani....
Mbeya assila gramu 10 ni 130kMkuu eden na asila gm5 na gm10 wanauzaje? Msaada plz nataka nipande kati ya hizo mbegu
upo sahihi mkuuAsilla ni mbegu nzuri hata mbeya inafanya vizuri...kipato inazaa tena matunda makubwa ila inashambuliwa sana na magonjwa,imara f1 ni nzuri pia sema haitaki stress kbs na inazaa sana .....