Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Huwaga wanaandika kwenye label yake... Na hapo ilipoandikwa sioni ila katika hili nadhan the horticulturist atatupa mwongozo, pia atuambie kama hii booster inafaa kuweka wakati mmea ukiwa mdogo au inafaa kutumika kama finisher!!Nashukuru sana kiongozi, na je hii busterView attachment 698436 kipimo chake ni ml ngapi kwa solo la lt 20 msaada tafadhali