Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mosi naona haukupandia mbolea yaani hukuweka DAP sababu hutupa phosphate ya kukuza mizizi na ammonium ya kutupa nitrate itupe rangi ya majani na shina lenye afya. Pia baada ya siku tatu huwa tunaishtua na CAN ili iendelee kulipa shina afya zaidi.
Pili baada ya kupanda hukupiga dawa za ukungu,huwa tunachanganya ridomil gold gm 20 kwa lita 20 za maji kisha unanyesha kwenye shina la mmea,hii husaidia kuzuia fungus kushambulia shina la mmea wako
Tatu ulipandikiza zaidi ukavuka kiwango ambacho kilikua kwenye kitalu,hivyo udongo ukagusa shina la kijani changa la mmea hii hulea tatizo la soft rot,haina dawa huwa tunaikinga kwa kupanda usawa ule ule uliokua kitaluni na pia kwa kupiga ridomil gold. Tafuta miche mingine ya kujazia sababu tiba hapo hakuna.
Ahsante
Nzuri hii habari,niunge0767358936Mkuu nami imenikatalia namba niunge 0715650128
Mkuu hapo kuna mambo mawili either ni bacterial spots au bacterial spec , je kwenye majan nako kuna madoa na majan yanakuwa kama ya njano? Kama ndio ni bacterial spots
Hiyo n fruit end rot au ukungu kati ya hayo, kama hilo doa ni gumu ni fruit end rot ,upungufu wa calcium uweke mbolea ya CAN au yeyote yenyewe calcium , kama n rain ni fungus( ukungu) upige fungicidepia hili nalo ni tatizo gani?View attachment 2043091
Group lilikufa wakuuMkuu yumbayumba niunge na mimi 0756982164. Mimi ni mkulima mchanga wa nyanya [emoji534]
[emoji28][emoji28]Maisha ya mjini yamenishinda naenda kulima nyanya.
[emoji1787][emoji1787]Maisha ya mjini yamenishinda naenda kulima nyanya.