Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Ukipenda ni kawaida. Unajikuta tu na hamu ya kumhudumia
 
Mleta uzi umewapa vichwa hawa viumbe,
Stop doing that kama unafanya kweli, stop giving them money coz money can't buy someone, unajipunguzia worth kama mwanaume. Siku ukifulia utajiona Fala. Kamwe sitakuja kutumia pesa kumridhisha mwanamke, ni kama vile unakua na malaya, utoe pesa ndo upate huduma. Money sio kipimo cha kupendwa. Period
 
Kuna siku nliwahi kuzungumza na nesi mmoja hivi
Yule dem aliachana na askal mmoja hivi maalufu wilayani pale
Nkamuuliza why ulitengana na jamaa wakati maokoto kibao
Yule manzi alinmby
Kuna wakati unahitaji kua na mtu mwenye future na mtu
Mwenye mipango na matumizi sahihi ya fedha na sio anatumia km kichaa

hivyo mwanamke malaya/mjinga na Mpuuzi tu ndio hufurahia fedha pasipokua na utafutaji
 
Huyu ni Malaya mwenzao wananunuana,

Ila akae akijua kuna mwanaume sehemu anakula pasu pasu hizo chenji zake.
 
Hakika, nami niliwah kosana na mwanamke sababu ya hivi, nikataka kumuonesha kwamba tunafurahia dunia, full kulala hotelin na mivyakula, sad enough akaniambia hagau una matumizi mabaya sana ya fedha na hivyo mm sipend mtu wa hivyo, nikadahan anatania ila akapunguza mahusiano had tukasauliana. Ukipata mtu anaejielewa anakuona zuzu boya sana ilihal ww ulitaka kuonekana mwamba.
 
We tuma tu wanao chimba mgodi wengineee! Tena mmm ukiwafahamu jasho litkutoka hadi kwenye meno
 
Learned brother. Tulihangaika sana kukushauri katika uzi huu πŸ‘‡ lakini inavyoonekana bado hujajifunza kitu!

Pesa zitakurahisishia kupata utelezi tu lakini hazitakusaidia kupendwa! Na usipoangalia kuna jamaa atakuwa anazifaidi hizo pesa zako.

Mwaga mapesa kwa binti ambaye tayari ni mchumba wako au ambaye tayari ulishaamua kuwa ndiye; na yeye alishakukubalia kuwa ndiye vinginevyo ni mismanagement of resources na kujirudisha nyuma bila sababu za msingi labda kama unahesabu hizo pesa kama sadaka ya kusaidia masikini na wanaoishi katika mazingira hatarishi! πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ


 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaofanya huo unyama ni wale wanaokopa ili wakahonge. Mimi natafuta kwa jasho, nawekeza, nazalisha nyingi zaidi, then na-show love.
Hao wanaofanya hivyo ni wale wanaotafuta kwa jasho na kuhonga kama mvua mwisho wa siku pesa zao huhonga wengine (Ben ten) na wao wanapewa invoice usiku na mchana
Do it at your own risk!!! Usije kasirika ama kuua mambo yakienda mrama
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kuna watu mnajidanganya.
Mwanamke hata umuonge dunia, sio kwamba ndio atatulia. Mwanamke huwa hathamini fadhila, yeye huthamini tu hisia zake, jinsi hisia zake zitakapomtuma ndio hufanya.
Mwanaume, ukitaka uje uishi kwa majuto hapa dunianni, basi wekeza pesa zako, nguvu zako, akili yako kwa wanawake, utajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…