Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Tusamehe dada ni makasiriko tu ya kukosa hela. Imagine mwezi mzima sijashika laki halafu naona mtu anahonga laki mbili lazima nishangae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utachemka bwana mdogo , hakuna mwanaume aliyetaka kumridhisha mwanamke akafanikiwa, ni suala la muda tu
 
Kuna kitu mleya mada sio bure;
1. Anafukuzia mdada wa jf, impression matters.
2. Ameopoa mtoto wa jf, its early stages so impression still matters.
3. Anataka aungwe mkono na jeshi kubwa la wadada.

Huyu ana jambo lake. Uchumi wa mama sio wa kutoa hata mia.
 
Sio kumpa tu hela, Mpe PESA NYINGI UWEZAVYO

Yaani baraka zitakumwagikia mpaka uzimie
 


Kwamba wanao wala Hela wao wamekwambia hawapati jakamoyo na makelele toka kwa wake zao?
 


Imeandikwa: “

Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini kuliko ktk Nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi”
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…