Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Halafu nyinyi wanawake acheni kuyumbisha vijana wetu. Nyuzi nyingine mnasema MWANAMME KAMA HUMPENDI UNAMUOMBA HELA TU HADI AKOME'
[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji848][emoji848]
 
Hahaa pole sana mkuu [emoji28]
 
Tangu enzi za mababu sifa kubwa ya mke ni uwezo wa kuzalisha mali.
Kufanya kazi.

Binti akionekana ni mvivu goigoi haolewi ng’oo [emoji108][emoji108]
Mkuu, hivi ni kuzalisha watoto au mali [emoji848]

Manake Biblia inasema sisi WANAUME ndio tunapaswa kula kwa jasho...
 
Simps wameitana hapa.kupeana mbinu za kusimp zaidi
 
Mkuu, hivi ni kuzalisha watoto au mali [emoji848]

Manake Biblia inasema sisi WANAUME ndio tunapaswa kula kwa jasho...

Mistari ya maelekezo ni mingi.

Kuna ule unaosema kila mtu ale kwa jasho lake , mstari huo upo kwa wote bila kujali jinsia.

Kuna mstari unasema asiefanya kazi na asile, hauna jinsia huo.

Imeandikwa: Mithali 31: kuanzia mstari wa 10 hadi mwisho unaelezea sofa za mke mwema, hapo utaona mke mwema anatakiwa kuwa jembe 💪
Anafananishwa na melikebu ya biashara toka mbali ilosheheni bidhaa mbalimbali.
Hutafuta
Mashamba akayanunua kwa Hela ya jasho lake.
N.k

Just few to mention.
 
Huyo ni malaya alikuwa anauza na wewe hujui kuwa anauza unatoa hela ambayo haifikii dau lake.
Mwenzio kaja katoa hela nyingi kuliko dau la huyo Malaya ndio maana alipewa siku hio hio.
Muulize rafiki yako bado yuko nae na anatoa hizo laki 3 kila siku?
Mkuu lejea mstar wangu wa pili tukisema tuweke mezani wanawake ambao hawataki hela kama ndio tafsiri yako .mkuu atabaki labda mama nyerere.

Ukwel kwa dau la laki tano Demu akajua hategwi na ww bwana ake hujui .95 % wanatoa mzigo.

Mi nkajua tunazungumzia kuwin moyo wa mwanamke maana wa kuwin wakati huna mia huwa yupo geto anapika na kanga moja.ambae huyo ukimtaka ww ni laki kadhaa .mm concerpt yangu ni kuwa hata wako wa ndan mspoil unaupiga mwingi.
 
acha ushamba kama Harmonize
 
Mleta uzi una undugu na yule msanii aliyeimba

Nambie nijue nambie nijue
Naona kama nakulazimisha
Nawe ushampenda mwingine
Nijue nisikusumbue
Moyo wa mwangaikaji waugeuza kama chapati....
Sidhani kama nina kosa Moyo wangu wanisumbua
Domo langu zito kukwambia ukweli nashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…