RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
KwendraaaaHao waliosema hivyo walikuwa ni wanaume wenye id za kike. Ogopa matapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwendraaaaHao waliosema hivyo walikuwa ni wanaume wenye id za kike. Ogopa matapeli.
🤣🤣🤣 matapeli hao, usiwasikilizeKwendraaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Hao waliosema hivyo walikuwa ni wanaume wenye id za kike. Ogopa matapeli.
[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu nyinyi wanawake acheni kuyumbisha vijana wetu. Nyuzi nyingine mnasema MWANAMME KAMA HUMPENDI UNAMUOMBA HELA TU HADI AKOME'
[emoji848][emoji848]Kali I wazazi wenu kila wakati.
Wanawake hao wamekuja kuchuma Pesa na mali tu .
Ukikosa kuwa na kazi na Hela ndipo utaanza kujua rangi zake halisi.
Ataanza kukutafutia vijisababu na visingizio iko muachane.
Kama kuna kitu mgawane asepe [emoji108][emoji108]
Mama namtumia zaidi ya hizi mkuu.Afadhali ungesema mama yako mzazi.
Mke au hawara sio ndugu yako.
Tena huwezi amini anaweza kukugeuka akawa adui yako.
Akataka kukuua kabisa.
Hahaa pole sana mkuu [emoji28]Kaka mm nliwahi kuwa na demu ofcouz ni malaya mbulu arusha nkawa nadate kula mzigo akawa anachomoa .mpaka nkabidi nimfanye mshikaj ili walau nile marafiki zake .siku jamaa yangu kaja ntembelea akamuelewa demu kaniuliza nipige nkampa permit nikijua hatoboi.jamaa alipiga usiku huo huo wakati mimi nimeliwa si chin ya mi 3 na miezi ni 6.nkabidi nikapate shule kwa jamaa angu au mm dhaifu.
Jamaa akaniambia siri hii na leo naomba ujue na naisisitiza
1.Likija swala la kuhonga hakuna nyingi wala ndogo ni uwezo wako . Jamaa skuile alimuhonga laki 3 cash asubuhi a akampa laki cash .mm natoaga miaka hiyo 20 hadi 40.kaka achana tu na jf ukwel mwanaume anahonga akitaka mzigo sana na mqrafiki huww tunashusha ukwel
2ukiwa unahonga kidogo unapoteza muda sana .
Asante
Mkuu, hivi ni kuzalisha watoto au mali [emoji848]Tangu enzi za mababu sifa kubwa ya mke ni uwezo wa kuzalisha mali.
Kufanya kazi.
Binti akionekana ni mvivu goigoi haolewi ng’oo [emoji108][emoji108]
Mkuu, hivi ni kuzalisha watoto au mali [emoji848]
Manake Biblia inasema sisi WANAUME ndio tunapaswa kula kwa jasho...
Nilijua tu lazima uweke kambi kwenye huu uzi shangazi wa mchongoToa hela bwana🤣🤣🤣
Mkuu lejea mstar wangu wa pili tukisema tuweke mezani wanawake ambao hawataki hela kama ndio tafsiri yako .mkuu atabaki labda mama nyerere.Huyo ni malaya alikuwa anauza na wewe hujui kuwa anauza unatoa hela ambayo haifikii dau lake.
Mwenzio kaja katoa hela nyingi kuliko dau la huyo Malaya ndio maana alipewa siku hio hio.
Muulize rafiki yako bado yuko nae na anatoa hizo laki 3 kila siku?
acha ushamba kama HarmonizeKindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Tafuta pesa wewe [emoji28][emoji28][emoji28]acha ushamba kama Harmonize
🤣🤣🤣🤣🤣Nilijua tu lazima uweke kambi kwenye huu uzi shangazi wa mchongo
Nipoo, naonaga uvivu kucoment hata kulogin🤣🤣🤣🤣🤣
Naona umefufuka!
Afadhali umezeeka!!Nipoo, naonaga uvivu kucoment hata kulogin
"When the bed is still shaking the house is safe" Chinua Achebe.Afadhali umezeeka!!