Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Unaacha kuwafundisha wasihubiri ile 50/50 ili wapate hizo pesa we unatuaminisha upuuzi,madhara ya kutokupewa pesa unayajua wazi yameanzishwa na wao,nitoe pesa yangu ya jasho kwa lidada lenye wanaume zaidi yangu nani kakudanganya??
Kaka pesa zako hutoi acha wengine tutoe.

Tusipangiane maisha [emoji28]
 
Wewe nae unajiona mjanja kununua mapenzi, fala kabisa wewe. Sio hela tu, watu tushawapa hadi magari na bado hatukufua dafu. Haya mambo hayana formula bhn
 
Wewe nae unajiona mjanja kununua mapenzi, fala kabisa wewe. Sio hela tu, watu tushawapa hadi magari na bado hatukufua dafu. Haya mambo hayana formula bhn
Ukioshaona tu mtu ana comment kwa LUGHA ya kutweza utu wa watu wengine ujue kuna mawili;

1. Ni masikini
2. Ana shida ya afya ya akili

Otherwise, mtu muungwana anajifunza kutofautiana na mawazo ya watu wengine bila kugombana/kuwaletea makwazo.

Sasa kati ya hayo mambo 2 chagua ambalo unapambana nalo kwa sasa [emoji23]
 
Endelea kuhonga malaya kwa hoja za kipumbavu. Mwisho wa shobo hua ni kudharaulika tu na maumivu ndo mahala pake hapo.
 
Mwanamke mdangaji mwenye ID ya kiume, ili kupenyeza hoja zake kwa wanaume.

Sawa, tangazo limeeleweka. Endelea kusubiri wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…