KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,446
Shangazi umepokea malalamiko?Aaah wapi! Kwisha habari yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangazi umepokea malalamiko?Aaah wapi! Kwisha habari yako.
Sio tu malalamiko, na kukuacha alishakuacha.Shangazi umepokea malalamiko?
Wazungu wanasema, "birds of the same feathers, flock together"...[emoji28]Una hoja mkuu.. Nakuunga mkono
Mali za umma au amana binafsi za watafutaji wanaotafuta kwa kumaanisha? [emoji28]Matumizi mabaya ya mali za umma
Kaka pesa zako hutoi acha wengine tutoe.Unaacha kuwafundisha wasihubiri ile 50/50 ili wapate hizo pesa we unatuaminisha upuuzi,madhara ya kutokupewa pesa unayajua wazi yameanzishwa na wao,nitoe pesa yangu ya jasho kwa lidada lenye wanaume zaidi yangu nani kakudanganya??
Kweli wewe KakaJambazi [emoji23][emoji23]Nitafanya ivo kwa mwanamke ambaye ni bikra, mwenye miaka kuanzia 28 na kuendelea.
Wewe nae unajiona mjanja kununua mapenzi, fala kabisa wewe. Sio hela tu, watu tushawapa hadi magari na bado hatukufua dafu. Haya mambo hayana formula bhnKindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Aliona shangazi unatuomba omba sana hela, akaona anusuru uchumi wa familia 🤣Sio tu malalamiko, na kukuacha alishakuacha.
Ukioshaona tu mtu ana comment kwa LUGHA ya kutweza utu wa watu wengine ujue kuna mawili;Wewe nae unajiona mjanja kununua mapenzi, fala kabisa wewe. Sio hela tu, watu tushawapa hadi magari na bado hatukufua dafu. Haya mambo hayana formula bhn
Tafuta pesa kijana, hutakuwa na haya makasiriko [emoji23][emoji23]Endelea kuhonga malaya kwa hoja za kipumbavu. Mwisho wa shobo hua ni kudharaulika tu na maumivu ndo mahala pake hapo.
Haina noma tajir mpenda sifa, leo umepata wangapi?Tafuta pesa kijana, hutakuwa na haya makasiriko [emoji23][emoji23]
Aaah wapi!! Siombagi maiti damu mimi😂Aliona shangazi unatuomba omba sana hela, akaona anusuru uchumi wa familia 🤣
[emoji120][emoji120][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ukweli huoo una kitu Mkuu utafika mbali
🤣🤣🤣🤣Mama mtumishi huonekani au una nguo mpya unaishi nayo humu?
Tuombeane tu rafikiaTupo mama [emoji28]
Halafu mbona umeadimika sana mtumishi?
Doh! Mungu amsaidie mama arejeee katika Hali yake ya kawaida🤣🤣🤣🤣
Ila ww
Hapana bwana, nauguza mama angu
Mwanamke mdangaji mwenye ID ya kiume, ili kupenyeza hoja zake kwa wanaume.Kindly refer to the heading above..