Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #501
Tabia za kimaskini huwa hazijifichi [emoji23][emoji23][emoji23]Chai .. naona unataka attention tu humu ...
Hebu tuma screenshot ya hio miamala tuone ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia za kimaskini huwa hazijifichi [emoji23][emoji23][emoji23]Chai .. naona unataka attention tu humu ...
Hebu tuma screenshot ya hio miamala tuone ,
Nipo kwa ajili ykoKunywa soda nakuja kulipa
Tokea may ianze huu ndo uzi mzuri kwangu
Happy New Month to you🥂
Naunga mkono hoja [emoji1787][emoji16]
Pesa haina jinsia, sasa unadhani jinsia yangu itakusaidia nini? [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni jinsia gani?
Tuanzie hapo kwanza
Hii hoja Yako alikuwanayo DR MWAKA! Miaka 2 baadae alipigwa na kitu kizito, wake zake alikuwa anawapatia Dollar 💰 na kupost kama wewe!Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Toa bwana, nawe utabarikiwa.Hela ambazo hazina maelezo ya kina sitoi
Na Evidence zipo ila wakuu wanakaza fuvu tu [emoji23][emoji23][emoji23]Hii hoja Yako alikuwanayo DR MWAKA! Miaka 2 baadae alipigwa na kitu kizito, wake zake alikuwa anawapatia Dollar [emoji383] na kupost kama wewe!
Ushuhuda mwingine MASANJA MKANDAMIZAJI alikuwa na hizo kauli kama zako nae akapigwa na kitu kizito Hadi Leo hii ameacha kupost upuuzi wa kumsifia mke wake Kwa kujiaminisha kuwa Pesa itamfurahisha mwanamke na kufanya atulie na wewe,
Mwingine ni NIKI WA PILI nadhani Leo hii akikusikia unaongea hayo maneno Yako atakuona ni mpuuzi!
Huwajui hawa viumbe, matajiri wote ndoa zao hazina amani au zimevunjikaKindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Alafu hakuna mtu alikuwa anakera kama MASANJA MKANDAMIZAJI na NIKI II Kila kukicha post za wake zao na kuwaponda vijana, Sasa hivi Kiko wapi? Mwanamke utampa Pesa ataitaji muda wako ukomnyima anagongwa na Bodaboda kwakuwa hana gari, ukimnunulia gari atembelee atagongwa na fundi magari garage au derevawake.Na Evidence zipo ila wakuu wanakaza fuvu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Braza "punguza asiraaaa"Una mbinu dhaifu sana za kuwatongoza wadada mkuu.
Yaani huu uzi wako ni kama ulimbo ili wadada wapenda mtelezo waamini upo hivyo waje kwako halafu wakutane unaishi kwa shangazi yako na unagombania uporo wa wali maharage na watoto wa shangazi kwa kukosa hela ya vitafunwa.
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Kaka mm nliwahi kuwa na demu ofcouz ni malaya mbulu arusha nkawa nadate kula mzigo akawa anachomoa .mpaka nkabidi nimfanye mshikaj ili walau nile marafiki zake .siku jamaa yangu kaja ntembelea akamuelewa demu kaniuliza nipige nkampa permit nikijua hatoboi.jamaa alipiga usiku huo huo wakati mimi nimeliwa si chin ya mi 3 na miezi ni 6.nkabidi nikapate shule kwa jamaa angu au mm dhaifu.Jf kila mtu anahonga kuanzia laki. 😂 😂. Hii nchi lazima ni force kuihamia mwaka huu na sijui iko wapi, lakini kama ni hapa hdpa bongo nakataa aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pesa haina jinsia, sasa unadhani jinsia yangu itakusaidia nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuteni pesa vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii hoja Yako alikuwanayo DR MWAKA! Miaka 2 baadae alipigwa na kitu kizito, wake zake alikuwa anawapatia Dollar [emoji383] na kupost kama wewe!
Ushuhuda mwingine MASANJA MKANDAMIZAJI alikuwa na hizo kauli kama zako nae akapigwa na kitu kizito Hadi Leo hii ameacha kupost upuuzi wa kumsifia mke wake Kwa kujiaminisha kuwa Pesa itamfurahisha mwanamke na kufanya atulie na wewe,
Mwingine ni NIKI WA PILI nadhani Leo hii akikusikia unaongea hayo maneno Yako atakuona ni mpuuzi!
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Huyo ni malaya alikuwa anauza na wewe hujui kuwa anauza unatoa hela ambayo haifikii dau lake.Kaka mm nliwahi kuwa na demu ofcouz ni malaya mbulu arusha nkawa nadate kula mzigo akawa anachomoa .mpaka nkabidi nimfanye mshikaj ili walau nile marafiki zake .siku jamaa yangu kaja ntembelea akamuelewa demu kaniuliza nipige nkampa permit nikijua hatoboi.jamaa alipiga usiku huo huo wakati mimi nimeliwa si chin ya mi 3 na miezi ni 6.nkabidi nikapate shule kwa jamaa angu au mm dhaifu.
Jamaa akaniambia siri hii na leo naomba ujue na naisisitiza
1.Likija swala la kuhonga hakuna nyingi wala ndogo ni uwezo wako . Jamaa skuile alimuhonga laki 3 cash asubuhi a akampa laki cash .mm natoaga miaka hiyo 20 hadi 40.kaka achana tu na jf ukwel mwanaume anahonga akitaka mzigo sana na mqrafiki huww tunashusha ukwel
2ukiwa unahonga kidogo unapoteza muda sana .
Asante
Halafu nyinyi wanawake acheni kuyumbisha vijana wetu. Nyuzi nyingine mnasema MWANAMME KAMA HUMPENDI UNAMUOMBA HELA TU HADI AKOME'Toa bwana, nawe utabarikiwa.
Hao waliosema hivyo walikuwa ni wanaume wenye id za kike. Ogopa matapeli.Halafu nyinyi wanawake acheni kuyumbisha vijana wetu. Nyuzi nyingine mnasema MWANAMME KAMA HUMPENDI UNAMUOMBA HELA TU HADI AKOME'