Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #581
Tafuta pesa [emoji23]Mwanamke mdangaji mwenye ID ya kiume, ili kupenyeza hoja zake kwa wanaume.
Sawa, tangazo limeeleweka. Endelea kusubiri wateja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta pesa [emoji23]Mwanamke mdangaji mwenye ID ya kiume, ili kupenyeza hoja zake kwa wanaume.
Sawa, tangazo limeeleweka. Endelea kusubiri wateja
Tuoneshe za kwako kwanza.Tafuta pesa [emoji23]
Miamala kwenye Uzi inajieleza [emoji23][emoji23][emoji23]Tuoneshe za kwako kwanza.
Asee😃😃Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
AmenDoh! Mungu amsaidie mama arejeee katika Hali yake ya kawaida
Ugua pole kwake
Utakapo kuta huo Mwamala ameutransfer kwa Bwana Wake kama ulivyo usianze kule nyuzi za masikitiko humu.
Ukiskia mwanume kamuua mwanamke au kumdhuru ni baada ya kufanya ujinga kama huu akiamini Mwanamke atampenda.
Hiyo miamala watumie malaya tu watakulamba hadi makalio.
Hahahahahahahaa nyie watu hapanaUtakapo kuta huo Mwamala ameutransfer kwa Bwana Wake kama ulivyo usianze kule nyuzi za masikitiko humu.
Ukiskia mwanume kamuua mwanamke au kumdhuru ni baada ya kufanya ujinga kama huu akiamini Mwanamke atampenda.
Hiyo miamala watumie malaya tu watakulamba hadi makalio.
[emoji1][emoji1]Sanamu liko linafikia ukingoni, labda ungependa tulizindue lini mkuu?
Duh! [emoji2][emoji2][emoji2]Sio pesa tu, kuna dogo hapa mtaani kwetu anafanya kazi mashineni(ya kusaga nafaka) anatoka na jimama (single mom with 2 kids ) kwa kulihonga kisado cha unga tu, anachofanya dogo yeye ni kukusanya unga kidogokidogo kwa kuibia wateja, wizi anaotumia ni ule wa kutokung'uta lile pipa linalovalishwaga kipande cha suruali, mpaka kisado kinajaa siku mazaa akitaka anapewa, basi dogo anakwambia akitaka mbususu anapewa muda wowote na maza kakolea vibaya mnoo
Hiyo ni mojawapo ya vyanzo vyangu mkuu, tena pesa iliyoko kwenye simu kwa ajili ya dharura ndogondogo.Yaani una 2.1m halafu unamtumia mtu 270,000/- huna akili
Kuwa na akaunti kwenye benki nyingi sio kuwa na helaHiyo ni mojawapo ya vyanzo vyangu mkuu, tena pesa iliyoko kwenye simu kwa ajili ya dharura ndogondogo.
Nina akaunti nyingine EXIM, NMB na EQUITY.
Sasa you can imagine, nikuunganisha vyanzo vyote hivi naweza kuwa na jumla ya sh ngp!
Nadhani mpk hapa ni lazima ukiri kwamba wewe ndio huna akili.
Sawa [emoji1][emoji1]Kuwa na akaunti kwenye benki nyingi sio kuwa na hela
Au sioSawa [emoji1][emoji1]
Nimegundua nabishana na masikini wengi sana humu wenye husuda na wivu, badala ya kuomba michongo ya kupata pesa na wenyewe wakue, wao wanashindana na sisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni madogo 2 tu so far ambao wamejua kwamba watu kama sisi tunaweza kuwa msaada wakatucheki PM, na soon wanaenda kusimama kwa miguu yao wenyewe.
Sawa [emoji1][emoji1]Nyie wapeni wanawake zenu pesa wakalipie lodge tuwakojoze vzuri... Maana nyie mna amini kuwapa pesa ni kuwaridhisha... Sisi tunawakojoza na pesa wanatupa...
🥂Kindly refer to the heading above..