Jifunze kumuacha aende

Jifunze kumuacha aende

Sasa Lili anakwambia sitaki goli lidondoke iwe iwavyo litatafutwa pa kuwekwa iwe ndani au mdomoni. Leo atume kimeseji chake "Mi sikutaki" unadhani ningemwelewa?

Hadi mwalimu mkuu aliingilia ndiyo nikaona imetosha.
[emoji23]
 
Ndo zangu, nitakuganda hadi ukaombe order mahakamani nikae mbali na wewe kwa mita 200.

Muulizeni Aziza, Prisca, Lili na Sharifa.
mliotajwa hapa like nikuone


unaachaje mtu aende kizembe??? binadamu tumeumbwa tofauti sana

Team Ruba
 
Back
Top Bottom