Jifunze kumuacha aende

Wengine hata sabah hawakupi, unashangaa mtu anakuwa hostile mwisho mawasiliano kwishney unabaki ukijiuliza nini kimetokea haipatikani jibu
hakika unabaki unajiuliza tu. mwisho wa siku mapenzi hayalazimishwi japo kumwacha unaependa ni ngumu lkn inabidi umwache aende tj
 
hakika unabaki unajiuliza tu. mwisho wa siku mapenzi hayalazimishwi japo kumwacha unaependa ni ngumu lkn inabidi umwache aende tj
Akisema inakuwa rahisi ku move on. Ile kubaki unajiuliza kumetokea nini ndio inaumiza zaidi.
 
ni rahisi kiyaandika hayo na kuyatamka ila siku ukikamatika na penzi la ukweli afu ghafla akaondoka hutayakumbuka haya maneno.
wanaosema haya ni wale ambao washazoea vibuti sana.HUO NDO UKWELI HALISI
Yani ni ngumu mno kumsimulia mtu kama wewe akakuamini ni mpaka itakapokutokea. Usiombe yakukute. Nimemuelewa sana nzalendo
 
[emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
mie kwangu itakuwa ngumu kumuacha aende, ngoja nijitathmini kwanza nimemkosea wapi? anataka nini? yawezekana ninafanya marekebisho bado nikawa naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…