whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Umenena vema nzalendo [emoji17][emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu ni wimbo eeh? Tuutafutie beat
MUACHE AENDE 😉Wengine hata sabah hawakupi, unashangaa mtu anakuwa hostile mwisho mawasiliano kwishney unabaki ukijiuliza nini kimetokea haipatikani jibu
Ngumu kumesaaaUkweli mchungu
hakika unabaki unajiuliza tu. mwisho wa siku mapenzi hayalazimishwi japo kumwacha unaependa ni ngumu lkn inabidi umwache aende tjWengine hata sabah hawakupi, unashangaa mtu anakuwa hostile mwisho mawasiliano kwishney unabaki ukijiuliza nini kimetokea haipatikani jibu
Akisema inakuwa rahisi ku move on. Ile kubaki unajiuliza kumetokea nini ndio inaumiza zaidi.hakika unabaki unajiuliza tu. mwisho wa siku mapenzi hayalazimishwi japo kumwacha unaependa ni ngumu lkn inabidi umwache aende tj
Kutokana na vimbwanga vyake kuna siku itafika utanyoosha mikono juu. Siku zinahesabika.Mimi sikuachi ng'oo!! [emoji1]
sana maana hupati jibu zuri ila unatakiwa uwe na msimamo na ujiulize kwa nn hivi. aende tu hakuna namnaAkisema inakuwa rahisi ku move on. Ile kubaki unajiuliza kumetokea nini ndio inaumiza zaidi.
Yani ni ngumu mno kumsimulia mtu kama wewe akakuamini ni mpaka itakapokutokea. Usiombe yakukute. Nimemuelewa sana nzalendoni rahisi kiyaandika hayo na kuyatamka ila siku ukikamatika na penzi la ukweli afu ghafla akaondoka hutayakumbuka haya maneno.
wanaosema haya ni wale ambao washazoea vibuti sana.HUO NDO UKWELI HALISI
Aende haraka huyo ili nije halafu na mimi NIMUACHE HUYU AENDE[emoji7]Na kweli nimwache aende...
We ar emotionally bleedingKweli kauli kavu Kama hizo hazifai.
Zamani binti ukimwambia hivyo anakufa ILA wadada wa siku hizi wamekuwa sugu.
People say time heals....We ar emotionally bleeding
[emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...
MUACHE AENDE !
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?
MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...
MUACHE AENDE !
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...
MUACHE AENDE !
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...
MUACHE AENDE !
CHA KUJIFUNZA
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!
• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.
Jifunze kumuacha aende hata ni kama kwenye ndoa, vitabu vya dini vinaruhusu kabisa kuvunja ndoa kwa kesi ya Uzinzi.
NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!
Kama ipo ipo tu...!
Tupo pamoja??