Jifunze kupitia pythagoras

Jifunze kupitia pythagoras

Jamaaa una akili vizuri na mada zako ziko poa ila tatizo ni jina unalotumia K NI K duh sisi wachungaji litakwaza kidogo
sina maana mbaya mkuu kama ndugu zetu wa zamani almaarufu kwa jina la wahenga walivyonadi Nyumbani ni nyumbani[\u] pia walisema Mcheza kwao hutuzwa[\u]
nami jina langu namaanisha KWETU NI KWETU na kwa ufupisho K ni K
 
Nitakumbukwa sana na watoto wa kike hapa duniani[emoji23][emoji23]
 
pia cha kuongezea kuhusu huyo jamaa alikua ana amini katika nadharia ya trans migration of souls yaaani kwamba binadam ni muunganiko wa mwili na roho na pia roho inakua ni mtuwa wa matakwa ya mwili na pia roho hupata uhuru wake pale mwili unapokufa then roho hiyo hua migrated na kupandikizwa katika mwili mwingine kisha maisha yanendelea kuna siku moja alikua na wanafunzi wake akapita sehem moja kisha akaangusha kilio kikubwa baada ya kuulizwa analia nini akasema anakumbuka kua aliwahi kuuwawa katika eneo hilo wakati alivyokua katika mwili wa warrior fulani miaka ya nyuma......
pythagoras ukiachana na mahesabu pia alikua mtaalam wa spiritual trainings hasa mambo yanayohusiana na Ajmi Chakra.
Kama ina ukweli vile
 
Mkuu umenikumbusha harakati na hekaheka za Mwana FALISAFA (Philosophy) mmoja katika nchi ya TANZANIA....

Huyu mtu alipambana VITA kipindi hicho na WAKOLONI wenye Silaha za MOTO...

Alikwenda/Aliingia Vitani akiwa na Askari wake WATIIFU aliowajaza HARI na IMANI wakiamini RISASI za MOTO zingekeuka Maji...

Katika VITA hiyo walikufa WAAMINI/WATIIFU wengi, na ilipo fikia kukamatwa kwake MWANA FALISAFA huyu....

Alichukua hatua ambayo baada ya yeye MAJESHI mengi ULIMWENGUNI yaliiga/yalifuata KITENDO chake kama sehemu ya MAFUNZO katika MEDANI YA VITA....

Huyu mtu ALIJICHUKULIA uhai wake.
Namaanisha ALIJILIPUA kwa RISASI kabla ya kukamatwa na ADUI...

Naomba nikumbushwe kati ya MIRAMBO...na KINJEKETILE...

Amani itawale katika VIFO vyao..
Umeandika vyema Mkuu, n'na kadhaa ya kukuuliza!

Kwanini unachanganya herufi kubwa na ndogo katika paragrafu zako?.Unakusudia au?.

Neno kama falisafa badala ya falsafa ni muendelezo wa makusudi au?.Pia kwanini unatumia nukta zaidi ya moja kila panapostahili nukta moja?.

Kumradhi kwa hili.
 
Umeandika vyema Mkuu, n'na kadhaa ya kukuuliza!

Kwanini unachanganya herufi kubwa na ndogo katika paragrafu zako?.Unakusudia au?.

Neno kama falisafa badala ya falsafa ni muendelezo wa makusudi au?.Pia kwanini unatumia nukta zaidi ya moja kila panapostahili nukta moja?.

Kumradhi kwa hili.
Hii imekuwa kama TABIA sasa...
Nimejizoesha na kujitambulisha kwa AINA hii ya Uandishi na wapo BAADHI ya watu wamedai KIFURAHISHWA...

Ni mazoea tu MKUU....
Na mimi naifurahia SANAA hii...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii imekuwa kama TABIA sasa...
Nimejizoesha na kujitambulisha kwa AINA hii ya Uandishi na wapo BAADHI ya watu wamedai KIFURAHISHWA...

Ni mazoea tu MKUU....
Na mimi naifurahia SANAA hii...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
All the best.
 
Wadau hii theory niliisoma ili tu nijibie mtihani nipate marks basi kwa mwenye kufahamu angesaidia japo kidogo kuelezea application yake kwenye real life
 
Back
Top Bottom