Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

Impressive
 
Hapo kwenye ulinzi (sijui sauti ya ndani iko sahihi au ndo ninapuyanga), anyway yote heri tuendelee kuilinda na kuitunza imani maana mwendo tutaumaliza/ameumaliza.
 
Hapo kwenye ulinzi (sijui sauti ya ndani iko sahihi au ndo ninapuyanga), anyway yote heri tuendelee kuilinda na kuitunza imani maana mwendo tutaumaliza/ameumaliza.
Hahahahaaha isikilize sauti yako ya ndani
 
Bravo
 
Ukitaka kujua hizi dini zinatupiga ndio hapa.

Kama mtu alilaaniwa katika ardhi akaamua kuwa mfugaji je hiyo mifugo inatoa wapi chakula kama sio ardhini? Je yeye mwenyewe anatoa wapi chakula kama sio kwenye hiyo ardhi au hao wanyama wanaopata chakula ardhini?

Je hivyo vyuma walifua vipi kama sio kwa madini chuma yaliyo ardhini?

Hebu muda mwingine muwe mnatumia hata akili kidogo mnapotaka kuandika mambo yenu ya kusadikika.

Cc Scars Kiranga
 
Imeandikwa wazi ,Alilaaniwa ktk ardhi kwa habari ya kilimo ,siyo vitu vingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…