Jifunze kutengeneza mafuta ya kujaza ndevu

Jifunze kutengeneza mafuta ya kujaza ndevu

Mi nafikiri utafute mafuta ya kujaza ela.Tujaze ndevu zitupe kazi ya kunyoa tena?
 
Hizo hapo ni baadhi ya bidhaa za matunzo ya ndevu. Binafsi hizo ndo ninazozitumia kwa sasa.

Hapo beard wash za aina mbili. Hizi ni shampoo ambazo ni mahsusi kwa ndevu.

Pia ndevu zaweza kupakwa mafuta. Kwenye picha utaona Cantu Shea Butter beard oil. Ni mafuta bomba sana kwa ndevu.

Muhimu vilevile ni ndevu kuzitunza mara kwa mara kwa sababu ni nywele ziotazo haraka sana [kama unazo nyingi].

Kwenye picha utaona wembe utumikao kuzichonga ndevu ili ziwe na muonekano maridadi.

Ndevu pia huchanwa. Hapo utaona kuna brush ya kuchania ndevu.

Hakika ndevu zikitunzwa, huwa zinaonekana vizuri mno.

View attachment 1251561

afadhal nimtaftie mchumba ang atumie
 
Back
Top Bottom