Jifunze kutengeneza mafuta ya kujaza ndevu

Mi nafikiri utafute mafuta ya kujaza ela.Tujaze ndevu zitupe kazi ya kunyoa tena?
Hata sijaelewa watu wanafuga Kuku, mbuzi , ng'ombe wengine wantaka kufuga NDEVU? Haiingii akilini kweli familia , mke na watoto watalindwa kwa Ndevu?

Haya endeleeni na hiyo makitu
 
Unanicheka...? ukiniona unaweza kusema hiki kitoto cha miaka 20.
Au ww unapenda mwanaume asiye na ndevu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hpn aiseee nnavopenda viuchebe mpk nachanganyikiwa
 
Ngoja namm naamini nikimalza darasa la saba namimi zitaota ntafanyia kaz huu uzi
 
Swali je naweza kutumia kwa nywele?
Weka mawasiliano coz hizo complications siyo kila mtu ana muda na vifaa vyakufanya hivyo
 
Tafuteni hela acheni ujinga, kuumba ni kazi ya Maulana.
 
Kutengeneza wengine hatuwezi, nikitaka kununua iliyo tayari bei gani na zinapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…