Jifunze Kutengeneza wateja wako mwenyewe, Wateja ndio Msingi wa biashara yako

Nondo sana aisee, ndo wale wanafungua biashara kwa mihemko. hivi jamaa huna blog au vitabu au mahali unapoandika maandiko yako mzee. una nondo sana, hebu ukipata muda unazipangilia hata kwenye kakitabu.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu na umetuelewesha vizuri kuhusu biashara allah(sw) akulipe kila la kheri.hongera[emoji817]
 
Somo limeleweka,
Nimatumaini yangu utakuja na uzi wa "jinsi ya kujitengenezea wateja wako mwenyewe"
 
Asante sana mr. CONTROLA ,wew ni kati ya watu ninao wakubali na kuwafatilia vzur hium jf.

Ukiamuaga kutema madin unatemaga madin aswaa. shukrani.

Umeongea ukweli mtupu tena kwa msisitizo .
 
nondo sana aisee, ndo wale wanafungua biashara kwa mihemko. hivi jamaa huna blog au vitabu au mahali unapoandika maandiko yako mzee. una nondo sana, hebu ukipata muda unazipangilia hata kwenye kakitabu.
Asante kwa Ushauri Mkuu,Ubarikiwe.
 
Asante sana mr. CONTROLA ,wew ni kati ya watu ninao wakubali na kuwafatilia vzur hium jf.

Ukiamuaga kutema madin unatemaga madin aswaa. shukrani.

Umeongea ukweli mtupu tena kwa msisitizo .

Nafurahi kusikia hayo Mkuu,shukrani sana kwa kutoa muda wako kusoma Risala zangu

Ubarikiwe na Mungu akaone kiu yako maana najua husomi hizi risala kama burudani,kuna

kitu unatamani kitokee ktk maisha yako ya biashara Basi na Mungu aonae sirini akatimize kiu na haja ya moyo wako.
 
Asante sana.
 
Mkuu ahsante kwa bandiko zuri,

Nukuu: "Ili uweze furahia ujasiriamali/biashara yako Jifunze mbinu za kutafuta wateja,kuvuta wateja wawe wako,watu wengine ndio kupitia wewe walete huduma yani waje kwasababu wewe ndio soarce ya wateja sio wewe uende wakati wao ndio soarce (chanzo) usikubali."

Swali: Mbinu kama zipi?
 
Mkuu ahsante kwa bandiko zuri,
Asante kwa kushukuru Mkuu..



Muda upo siku 1 nitaziweka lakini pia Penda kusoma na kutafuta hizo mbinu hata wewe mwenyewe ili siku nikija na zangu unakua unajazia jazia tu kwenye zile ulizonazo na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…