Jifunze Kutengeneza wateja wako mwenyewe, Wateja ndio Msingi wa biashara yako

Pamoja Sana japo somo la leo limeniona nasubiri mwendelezo wake #iamslowlearner
Nakuelewa mkuu,ukiwa hujaelewa somo Pita na comment za wadau

Jinsi ninavyowajibu mwisho utapata kapicha mwishoni ya nn lengo la mada.
 
Kama kawaida yako mkuu unatema MADINI tupu...kongore kwako! Asante kwa moyo wako wa kiuungwana hivi,Mungu atazidi kukubariki naamini. Hii ni zaidi ya Elimu ya kawaida...Ni Mafanikio ya kudumu. Shukrani sana Mkuu.
 
Dah, mkuu huachi kitu...!
 
Niko nameza na kupractise magic ya kuvuta ninachotaka maishani kupitia hiki kitabu....nitakuja kuwapa mrejesho after 30 days. THE SECRETE by RHONDA BYREN
 

Attachments

  • 61xJPg75-lL._SL500_.jpg
    35.2 KB · Views: 5
Wewe una wateja wa kudumu kwa biashara yako?, ulitumia njia gani kuwatengeneza. nipe siri
 
Huu ndio ukweli
 
Daahhh!!!!
Barbershop yangu ilipigwa mweleka wa maana.Nimejua sababu.
 
wateja wakufuate

binafsi uwe chanzo cha wateja

noted.
 
Mie napinga kwa sababu ukitaka kufungua biashara fungua upande wa Kaskazini wa eneo husika utauza sana, kamwe usifungue Kusini wala mashariki utaumia shauri yako!!

Mfano utajiri wowote Duniani uko Kaskazini Duniani. kaskazini kumeneemeka zaidi, MABARA YOTE kaskazini ndiyo kuna Mali, na watu wenye akili. chunguza; Ulaya yote. Africa, Asia, Latin America, USA, eg. Tanzania Mtwara -Lindi pamoja na gas yao hawatakaa wafikie Kaskazini, hao wazungu watachimba tu lkn watalala na kula Hotel za Kaskazini. South africa Kaskaizini ni bomba,

DSM- Bongo Kinondoni ni kaskazini, Temeke ni Kusini japo kuna viwanda vingi, RTD KONGWE, Bandari, hakuna tajiri anaetokea Temeke, kuna uwanja wa taifa lkn wateja wanatokea Kinondoni nk.

Fanya haya; Usafi, mwonekano nadhifu, Lugha nzuri, ucheshi, Ukweli, uaminifu upendo na huruma, kujiamini, uchaji Mungu vitakubeba sana hata iweje. piga ua garagaza utauza mpaka udongo!

Urenge wateja wkt umevaa kininja? umefuga Rasta- Bongo!! umevaa jeans yenye matobo matobo! utapata marasta wenzako, ambao sio wengi wenye hela!! ila kwa ulaya utauza lkn ziwe safi siyo km Rsta za kibongo chafuu!! watoto watakuogopa!! mteja anakuja ndo kwanza mfanyakazi anamsikiliza huku amekaa chini anasukwa? kweli umerenga hiii? ...mkono unauma ntarudi!!!
 
Nimesoma uzi wako mzuri sana.

Swali ambalo naomba kuuliza ni.

NAMNA GANI SASA NITAFANYA ILI NIWE NA WATEJA WANGU AMBAO MIMI NDIO SOURCE YENYEWE ?
 
Wewe una wateja wa kudumu kwa biashara yako?, ulitumia njia gani kuwatengeneza. nipe siri
Ukishaita kitu siri nadhani unaelewa nini maana ya siri ni kitu cha ndani cha mtu ambacho hawezi kukuambia.

kwenye swali lako nilichoelewa unahitaji nikupe mbinu hizi ndio ninazoweza kukupa,mbinu za kutengeneza wateja wako.

siku 1 utaamka tu utakuta uzi wa "Mbinu za kutengeneza wateja wako permanent" nishautupia humu jamvini,uwe tu na subra.
 
NAMNA GANI SASA NITAFANYA ILI NIWE NA WATEJA WANGU AMBAO MIMI NDIO SOURCE YENYEWE ?
Siku 1 nitaleta namna ya kufanya lakini wakati ukiendelea kusubiri nitakayoyaandika

na wewe endelea kujitafutia/kujisomea sehemu tofauti tofauti maana sio siri kuubwaa ni vikitu vidogo sana

ambavyo ukivifanya kwenye biashara yako mteja hachomoki,huyo ni wako siku zote atapokua na uhitaji wa kitu chchte unachouza.
 
Controla kwenye ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…