Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
Shikamana na Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujifunza namna sahihi ya kuthibitisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo.