Jifunze kwa awa vijana wa kiafrika ni matajiri wabunifu umri wao chini ya miaka 30

Laki si pesa sijui kanga moko ni matatizo!! Soma elewa mada sio unakurupuka tu ili mradi ubishane ushazoea kutetea uozo wa chama baasi

Jinga kabisa hilo linadhani ndio litapata umaarufu. Kwa fake Id?
 
Naona baadhi ya watu wakiona jina la mchaga viroho huwa vinawauma sana,, hamuwawezi hawa jamaa,, wataendelea kuwa juu, so just join them... Period!!

Ukitaka kumjua mtu mwenye kabila lake utamjua tu lazma alisifie kama huyu punguani hapa juu kila unaonywa kuhusu udini na ukabila lakn kutokana na izo dvision 5 zenu mnakuja kusumbua hapa jf why usibakie kule kule mtandao w mapicha picha #instargram ...??
 

Uzi wako ni mzuri na una mafunzo but all in all jifunze kutofautisha kati ya entrepreneur and businessman/businesswoman.
 

Forbes hawamaanishi pesa tu wanamaanisha waanzilishi wa kitu tofauti na wameweza kukiendeleza.makampuni yakiyoanzishwa na vijana ni mengi sana na waweza kuta yana mafanikio kuliko hawa waliotajwa ila Forbes wamengalia kwamba Hawa ni waanzilishi wa kitu tofauti na mazingira Yao tukubali kitu kama kukusanya maji Ya mvua na kutreat na kuuza ni ubunifu maana yeye kaweza gundua ageuzaje mvua Kuwa faida kwake sie wengine twageuza mvua Kero Mie nna wasifu na kikweli wanastahili pongezi
 
Sidhani kama Kati yetu huku ndani kuna Mtu alishawahi fikiria kutengeneza nguzo za Umeme za plastic? Au kuzalisha solar energy to the extent Ya kampuni ya huyo ngowi Jamani lets not be haters maana waTZ we are such hater
 
Hizo takwimu wanachukulia wapi hapa Songea kuna kijana mmoja ana miaka 19 alipata madini aina ya saphire yenye thamani ya bilioni 200

mkuu soma mada, hapa anazungumizia wajasiria mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…